Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Matumizi makubwa wanayaona kwenye huduma za kujamii ndipo wanalobana matumizi, Lakini kwa ajili yao hakuna kubana matumimizi mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hawa TRA Kutoka Tanganyika walioko Zanzibar wanakusanya maembe?Pesa ya mkopo ya IMF hiyo...... Wabara ndiyo tutakaoilipa.
weye Muarabu hapo siyo kwenu uondoke wende ukaijenge Oman...kwa nini mnatupenda sana siye weusi????Huu Si muungano ni uvamizi uliopewa Jina la muungano. Muungano gani wa kutuletea majeshi mpaka ya Burundi kuja kutuuwa, kutuibia Na kuweka vibaraka wenu kila baada ya miaka mitano?
weye Muarabu hapo siyo kwenu uondoke wende ukaijenge Oman...kwa nini mnatupenda sana siye weusi????
siyo dhambi kuzaliwa wkt huo!! kwanza ni bahati ukizaliwa ivo ndo ushujaa wenyewe siku wakisherehekea Mwenge na mie nasherehekea kuzaliwa kwangu huoni kuwa ni safi hiyo?? kwani taabu iko wapi hapo??Kwa sababu wengi mmezaliwa kwenye mbio za mwenge
siyo dhambi kuzaliwa wkt huo!! kwanza ni bahati ukizaliwa ivo ndo ushujaa wenyewe siku wakisherehekea Mwenge na mie nasherehekea kuzaliwa kwangu huoni kuwa ni safi hiyo?? kwani taabu iko wapi hapo??
Ndo maana nasema weye ni muarabu hata hujui alama za kitaifa ..... weyey unaona nidhambi ajili ya damu ya ubaguzi mlizorithi kutoka kwa babu zenu magriki! Zanz bar hatuachiii mpaka moto uwake kwli kweli!!
Tito OKello alifanya kazi nzuri miarabu ikakimbia kwao Oman!
Unarudia hilohilo tyuuu!! miarabu hamnaga akili nzuri mnakurupuka sana!!! ndo maana mnadai nchi isiyokuwa ya kwenu tena bla aibu!! nendeni mkadai uturuki bana!!Kumbe ni mtoto wa mbio za mwenge
Malezi ya watoto wa mbio za mwenge ndio haya sikushangaiUnarudia hilohilo tyuuu!! miarabu hamnaga akili nzuri mnakurupuka sana!!! ndo maana mnadai nchi isiyokuwa ya kwenu tena bla aibu!! nendeni mkadai uturuki bana!!
LKN kuanzia middle east kule ni Africa ya weusi bana ...mnahangaika hivi sababu hamtaki kwenu!....chazeni na hao watawala nikishika mie mtajuta!
Wadadisi wa mambo wanasema Dr.Mwinyi na Maza etu ni aba mmoja!! yani ni mtu na dada yake!!Pamoja na yote kuna kitu cha kujiuliza na ambacho Dr. Mwinyi amekiweka wazi kuwa, Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia yupo karibu sana naye hasa katika uongozi wake na mustakabali wa Zanzibar na wanawasiliana kila wakati kupeana updates.
Wasio Na kazi ndio Huja Na mawazo Kama hayoWadadisi wa mambo wanasema Dr.Mwinyi na Maza etu ni aba mmoja!! yani ni mtu na dada yake!!
Waulize waliojiunga kwny Serikali ya Umoja wa kitaifa
Tangu wameunganishwa kwny 'Gridi ya Tozo' ushaskia wanauponda Muungano au Mapinduzi matukufu?
Akili za kuambiwa…
Mmh!!! Kwahiyo mgongano wa maslahi ni lazima utakuwepo tu kwa namna moja au nyingine !! Rais wa zamani wa Nigeria Olusegun Obasanjo alisema Africa inashindwa kuwa na maendeleo kwa sababu ya Ufisadi !! Lakini aliwaambia viongozi wenzake wa Africa baada ya yeye kumaliza muda wake !! Hakusema akiwa bado kwenye kiti cha enzi !! Hivi ni lazima MTU uwe tajiri sana katika hii dunia ndio uwe na furaha katika moyo wako ?? " personally I don't think so " !! Ni Ulafi tu maana peace of mind huwa hainunuliwi kwa pesa wala kwa kitu chochote cha thamani !!Hussein Mwinyi kwa wale wanaomjua ni mfanyabiashara first and foremost ; siasa kwake ni chombo cha kufanikisha malengo yake!! Business interests zake zinaangaliwa na mdogo wake Abdallah Mwinyi; kama vile kule Kenya Muhoho anavyoangalia business interests za rais Uhuru Kenyatta na huko Zanzibar ni hivyo hivyo!!
Mbiyo za Mwenge ni ishara ya ukombozi wa Mtu mweusi!! aliye fanywa Mtumwa miaka mingi kwenye Mashamba ya karafuuu ili kuzijenga Oman na nchi nyinginezo za Uarabuni,Malezi ya watoto wa mbio za mwenge ndio haya sikushangai
Kwa mujibu wa biblia ipi ?Mbiyo za Mwenge ni ishara ya ukombozi wa Mtu mweusi!! aliye fanywa Mtumwa miaka mingi kwenye Mashamba ya karafuuu ili kuzijenga Oman na nchi nyinginezo za Uarabuni,
Kamwe hatuta zinanga mbio za Mwenge nenda kawaambie wenzako kuwa tuko ngangari hatuyumbi!! kama unavo dhania na tutazitetea kwa nguvu zooote hata mtupingeje! !!
pia uko sahihi kuwa Lazima ushangae kwa sababu Mwenge wetu haukuhusu wewe!! unatuhusu sie wenye Zanzibar yetu! na ndg zetu wa Bara Na weusi Africa kwa ujumla yaani sisi watu wa Rangi rangi uzuri!!
Ambao Babu zako wametubatiza jina weusi!......wametuburuza weee bado hamtosheki??? sasa weye nakushangaa sana!!! kwanza wenzako kule Oman hawakutaki ndo maana umekaa hapo!!
Mfalme wenu yule! baada ya kufurushwa na Okello pia alikataliwa na ndg zake asiingie Oman! akaomba kukaa UK mpaka leo!! na wewe pia ukienda huko shida tupu sasa ndo maana unalialia hapa! tukuonee huruma kwenda kwenu!
Mbiyo za Mwenge ni ishara ya ukombozi wa Mtu mweusi!! aliye fanywa Mtumwa miaka mingi kwenye Mashamba ya karafuuu ili kuzijenga Oman na nchi nyinginezo za Uarabuni,
Kamwe hatuta zinanga mbio za Mwenge nenda kawaambie wenzako kuwa tuko ngangari hatuyumbi!! kama unavo dhania na tutazitetea kwa nguvu zooote hata mtupingeje! !!
pia uko sahihi kuwa Lazima ushangae kwa sababu Mwenge wetu haukuhusu wewe!! unatuhusu sie wenye Zanzibar yetu! na ndg zetu wa Bara Na weusi Africa kwa ujumla yaani sisi watu wa Rangi rangi uzuri!!
Ambao Babu zako wametubatiza jina weusi!......wametuburuza weee bado hamtosheki??? sasa weye nakushangaa sana!!! kwanza wenzako kule Oman hawakutaki ndo maana umekaa hapo!!
Mfalme wenu yule! baada ya kufurushwa na Okello pia alikataliwa na ndg zake asiingie Oman! akaomba kukaa UK mpaka leo!! na wewe pia ukienda huko shida tupu sasa ndo maana unalialia hapa! tukuonee huruma kwenda kwenu!
Teh! teh! teeee! hivi kumbe naongea na chizi sasa Okello na biblia ya wazungu wapi na wapi! ...... au uli maanisha Biblia??Kwa mujibu wa biblia ipi ?