Mwaka Mmoja wa Rais Dr. Hussein Mwinyi; Kinachoendelea Zanzibar Wananchi wanashangaa

Waulize waliojiunga kwny Serikali ya Umoja wa kitaifa

Tangu wameunganishwa kwny 'Gridi ya Tozo' ushaskia wanauponda Muungano au Mapinduzi matukufu?

Akili za kuambiwa…

Mimi simuulizi mtu , mimi yaliyonifika ninayajua , Na wala siupondi Muungano wala Mapinduzi ninaelewa vizuri kuwa kulikuwa Hakuna Mapinduzi ni uvamizi wa Nyerere. Majeshi ya kutoka Tanganyika yalikuwa mitaani tukiwaona vizuri . Haramu haidumu . Hao ACT wamo katika mapambano Na kila mtu kwa njia yake.
Aluta continua
 
Mwendazake alisema mtamkumbuka, unadhani angekuwa mwendazake haya yangetokea? kakaa mzee Shein miaka kumi ,haya hayajawahi kutokea mwaka mmoja tu kelele kama loote, halafu huku tunakabana na walalahoi kwenye tozo zetu.
 
Mwendazake alisema mtamkumbuka, unadhani angekuwa mwendazake haya yangetokea? kakaa mzee Shein miaka kumi ,haya hayajawahi kutokea mwaka mmoja tu kelele kama loote, halafu huku tunakabana na walalahoi kwenye tozo zetu.
You've a point mfia nchi!, Nilimuona kwenye TV mzee Jakaya.
 
Kwanini anataka kubadili katiba ya Zanzibar ili aweke sheria kandamizi kama za Jiwe ? kama huna taarifa basi chukua hiyo
 
Watu mbona mnajua makubwa sana
 
Mwinyi ameshafail tayari, mwaka umekatika hana lolote alilolianzisha ambalo linaleta tamaa ya matumaini, anajisifia Amani na utalivu typical ccm.
Mkuuu si juz kafungua Hotel ya blue cjui kasema maaan mie namuona kma kavimba mashavu tu
 
Kwanini anataka kubadili katiba ya Zanzibar ili aweke sheria kandamizi kama za Jiwe ? kama huna taarifa basi chukua hiyo
Mkuu umeniuliza na ukanipa hit by the point view, ahahahaa.

Kweli sina taarifa kama anataka kubadili katiba but sidhani kama itawezekana.
 
Akipewa ushirikiano wa dhati na viongozi wenzake pamoja na wananchi kwa ujumla ataipeleka Zanzibar mbele kiuchumi kupitia uwekezaji wenye tija.
 
Mwinyi ni kibaraka wa uvamizi uitwao muungano. Hawezi kufanya chochote zaidi ya kutekeleza maagizo ya waTanganyika waliomweka madarakani kwa kutoa roho za watu Na kumwaga damu. CCM mwisho wao ni mbaya sana. Allah atupe uhai.
Nyie watu ridhikeni na mema ya hii nchi Jitihada zote anazofanya Mwinyi mnataka afanye nini zaidi ya hayo kama kiongozi wa SMZ.
 
Madam President ni Mzanzibari, kwa hiyo katika muhula wake wa uongozi ni lazima ahakikishe Zanzibar inafaidika kimkakati kutokana na yeye kuwa ndiye kiongozi mkuu wa nchi. Kama mtangulizi wake aliipendelea Chato ni kwa nini naye ashindwe kufanye hivyo!?

Kitu pekee anachopaswa kufanya ni kupeleka miradi ya maendeleo kwa uwiano ulio sawa kutokana na idadi ya mikoa na wala siyo idadi ya watu. Kwa kuwa idadi ya watu waliopo katika mikoa ya Tanzania Bara ni kubwa zaidi kwa kulinganisha na ile ya Tanzania Visiwani.

Kwa hiyo basi njia pekee ni kama vile ambavyo ameanza kufanya kwa kununua na kuvigawa vifaa vya "CT Scan" kwa mikoa yote Bara na Visiwani pasipo kujali idadi ya wakazi, ndivyo pia anapaswa kufanya kwa kugawa vitu kama "ambulances", ujenzi wa madarasa, vituo vya afya, n.k.

Lazima atambue katika mikopo na misaada mingi ambayo Tanzania iliipata, mingi iliifaidisha Tanzania Bara. Ni lazima ahakikishe miundombinu bora inaonekana katika Zanzibar mpya yenye muonekano wa kisasa, ajenge uwanja wa michezo wa kisasa, madaraja ya juu yaani "interchange" pamoja barabara za lami zenye hadhi ya njia sita.

Anaweza pia kufungua "zoo" kubwa sana ili kuvutia zaidi watalii. Wakiupiga mwingi pamoja na Mwinyi Jr mbona wataitoa Zanzibar kimasomaso.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Nyie watu ridhikeni na mema ya hii nchi Jitihada zote anazofanya Mwinyi mnataka afanye nini zaidi ya hayo kama kiongozi wa SMZ.

Jee wewe unaridhika kuona tunakwendea magongo Na kaka yetu aliyeuliwa tunawalea watoto wake aliowawacha


Jee anaweza kuzirudisha zile Roho Za watu aliowauwa ili kuwekwa yeye madarakani?
Kama hawezi msaidie kwa hilo kwanza?
Na wale watu waliotiwa vilema Na wengine wanaotembea Na risasi mwilini mpaka Leo ,jee vipi unamshauri nini?
 
Kinachonifurahisha wazanzibari wenyewe wanasema "Sisi ndiyo tunanufaika zaidi na huu muungano kuliko wabara" why, sababu wao hawana mzigo mzito wa kuwasumbua.

Mfano mmojawapo niliopewa ni mikopo mikubwa, serikali ya muungano inakopa wao wanakatiwa chao na kufanya yao. Juzi bimkubwa kapewa za Covid na Zanzibar wamepewa mgao wa 200b.

Yapo mengi ila pamoja na kubebana kwa msingi wa Rais katoka unguja wao hawapotezi kitu ninyi bara ndiyo wanapoteza.

👉🏾HATARI: Issue ya kuanzisha zoo Zanzibar hii inawezekana BUT nasema hapana haiwezekani nitasimama kidete kupinga huo wizi kwa kigezo chochote kile.
 

Ni kweli tunanufaika kwani kila baada miaka 5 ,tunamwagiwa majeshi Na mwaka jana tumeletewa mpaka majeshi ya Burundi. Ni raha Tu wengine tunauliwa , wengine tuko vilema, Dada zetu wananajisiwa, almuradi tunafaidi Tu matunda ya Uvamizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…