Mwaka mmoja wa Samia madarakani, TARURA yafanya mapinduzi ya kufungua Nchi kufika kusikofikika kwa barabara za Vijijini na Mijini

Mwaka mmoja wa Samia madarakani, TARURA yafanya mapinduzi ya kufungua Nchi kufika kusikofikika kwa barabara za Vijijini na Mijini

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Mwaka mmja wa Rais SSH madarakani,wakala wa barabarani za Vijijini na Mijini Tarura imeendelea kuleta mageuzi makubwa ya barabara za Vijijini na Mijini kwa kufungua Nchi kufika kusiko fikika hivyo . kuwanufaisha wananchi.

Ikumbukwe kabla ya kuongezewa bajeti, barabara za Vijijini ilikuwa ni kilio kikubwa sana kwa wanachi wa Vijijini lakini mama alisikia kilio na Sasa matokeo yanaonekana.

Sio tuu barabara za changarawe na madaraja yanajengwa bali hadi Vijijini huko lami zinazidi kutandazwa.

Bado mama ana miaka 4 zaidi,wanaomchukia watampenda wenyewe bila kulazimishwa.

Twende Kazi Mama matunda yako tunayaona👇

Screenshot_20220403-135352.png


Screenshot_20220329-162740.png


Screenshot_20220329-162800.png


Screenshot_20220329-162810.png


Screenshot_20220329-162855.png


Screenshot_20220329-162931.png


Screenshot_20220329-162918.png


Screenshot_20220331-144558.png


Screenshot_20220402-230047.png


Screenshot_20220327-201854.png


Screenshot_20220327-202239.png
 
Kwanini nguvu kubwa sana inatumika kutuaminisha kuwa kila maendeleo yanayofanyika ni jitihada binafsi ya raisi. Hizi hongera zimekuwa nyingi kama vile pesa inatoka mfukoni kwake.
Nani kasema ni jitihadi binafsi? Nguvu gani inatumika hapa?

Si huwa mnasema mnataka kupata mrejesho sasa huu ndio mrejesho wenyewe wa tozo nk .

You people mna shida gani nyie ?
 
Lipiani matangazo yenu wapuuzi nyie, hakuna la maana mnafanya magari kila siku yanakwama sababu ya barabara mbovu, sema mifuko yenu imefunguka vizuri sn
 
Lipiani matangazo yenu wapuuzi nyie, hakuna la maana mnafanya magari kila siku yanakwama sababu ya barabara mbovu, sema mifuko yenu imefunguka vizuri sn
Kwamba hata macho huoni yaani au upofu wa chuki binafsi tuu? 🤣🤣🤣..

Usiyempenda Kaja mkuu ni Kazi tuu na inaendelea kwa Kasi kubwa

Screenshot_20220331-144558.png


Screenshot_20220329-163138.png


Screenshot_20220329-162749.png


Screenshot_20220328-164919.png
 
Duhhhh.....
Leo nimefaham kwanini kisu kina kata lakini hakina diwani...🤣😂
 
Hata maendeleo yenyewe yapo wapi?
hakuna maendeleo lakini wanajaribu kukuza kila kitu tuone kama vile kuna makubwa mno yanafanywa. Ukipita mabarabarani mabango yametanda kumpongeza kwa kile ambacho hakionekani. Kwa jitihada inayofanywa kumuonyesha kuwa ni bora sana, sitostaajabu tukiona bango la hongera mama kwa kuleta mvua nyingi ndani ya mwaka mmoja.
 
hakuna maendeleo lakini wanajaribu kukuza kila kitu tuone kama vile kuna makubwa mno yanafanywa. Ukipita mabarabarani mabango yametanda kumpongeza kwa kila ambacho hakionekana. Kwa jitihada inayofanywa kumuonyesha kuwa ni bora sana, sitostaajabu tukiona bango la hongera mama kwa kuleta mvua nyingi ndani ya mwaka mmoja.
Ni makubwa ndio,kwako tafsiri ya maendeleo ni ipi?
 
Nani kasema ni jitihadi binafsi? Nguvu gani inatumika hapa?

Si huwa mnasema mnataka kupata mrejesho sasa huu ndio mrejesho wenyewe wa tozo nk .

You people mna shida gani nyie ?
kuna mrejesho na matangazo. Mrejesho huwa haumbatani na pongezi kwa mtu mmoja. Unapoweka pongezi ni tayari lishakuwa jambo binafsi hivyo kutoa hongera kwa jitihada 'binafsi'.
 
Madaraja ya chuma yamepitwa na wakati,chuma zinaibiwa sana bora wangeweka kingo za zege tu
 
Back
Top Bottom