Mwaka mmoja wa Samia madarakani, TARURA yafanya mapinduzi ya kufungua Nchi kufika kusikofikika kwa barabara za Vijijini na Mijini

Mwaka mmoja wa Samia madarakani, TARURA yafanya mapinduzi ya kufungua Nchi kufika kusikofikika kwa barabara za Vijijini na Mijini

Wanapokea sh.ngapi? Wewe unaeenda site bila rushwa tupe your findings
Ndiyo maana sikutaka kuajiriwa baada ya kujitolea council kama miezi 8 nikaona uozo wa ajabu sn na sitakaa niajiriwe lakini nilijifunza mambo mengi sn kuhusu mifumo yetu imejaa rushwa na utapeli tupu
 
Unavyosema nchi nzima unamaana gani ,nibaadhi ya maeneo ndo yamerekebishwa na sio nchi nzima.Mnafanya matangazo kwamba nchi nzima.?
 
Ivi maendeleo ni nini au mimi sielewi, Mleta mada nataka nikuulize swali ukisema maendeleo unaelewa nn? Ivi uyu bi mkubwa kaleta maendeleo gani au wewe unaishi ukraine?

Ebu tembea kidogo wacha kukaa sehemu moja kunakufanya Usijue mengi sana...... mpaka dakika hii mama yako keshafeli kimahesabu kawakumbatia manyang’au akizani watamsaidia lakini wale ndo watakao mmaliza wale ni watu wa fursa wapo pale kwa Maslai yao na watoto wao....

Mkuu maisha huku uraiani yamebadilika sana yamekuwa magumu sana kwaiyo mwaka mmoja wa mama samia ni upuuzi tu Hakuna la maana limefanyika,

Siku moja naangalia tv alikuwa akihutubia sikumbuki ni mkoa gani lakini alionekana mama mmoja akiwa na Bango amezulimiwa ardhi na alikuwa akijitahidi kupita amuombe raisi wake amsaidie, kiukweli roho iliniuma samia alimjibu vbaya sana yule mama kwamba ambu rudi huko tafazali watakusikikiza uko watakusaidia huko...!!!!!!!!! Uyo ndo raisi na yule ni mwanamke mwenzie alishidwa kumsikiliza mwaka mmoja wa samia suluhu

Endelea kusifia j5 ya mwanzo wa mwezi ni kesho kutwa na bei za mafuta zitabadilika na ndo utasema mwaka mmoja wa samia amefanya nini!!! Najua unajua mafuta yakipanda zaidi nini kitatokea
Ndugu yangu, unapoteza muda bure kuandika yote haya. Huyu mtoa mada ni wazi yupo kazini. Ni sehemu ya ile propaganda ya kutuaminisha kuwa mama anafanya kazi kubwa, lakini hata yeye mwenyewe anajua kuwa hakuna kitu.

Huyu mama hakuwa na plan na mpaka dakika hii hana plan. Tegemezi lake ni wale anaowateua, na kwa vile hao walioteuliwa wanajua kuwa mama hana dira nao wanatumia fursa ipaswavyo.

Hii plan mpya waliokuja nayo kumuweka kwenye mabango nchi nzima na pongezi nyingi, ni jaribio la kubadilisha mtazamo wa watu juu yake. Ni kama kutaka watu tuone kuwa kuna ambavyo tunavimiss kuona katika vile anavyofanya mama.

Hizi project wanazotuonyesha zilikuwepo siku zote, hakuna jipya hapa kusema kuwa amefanya yeye. Kipimo hasa cha maendeleo ni nafuu ya maisha kwa mwanachi wa chini kabisa. Lakini yeye kama anaepaswa kuwa mtetezi wa wananachi anawapa go ahead wafanyabiashara wapandishe bei kwa kisingizio cha vita, sasa hapo mnadhani kuna raisi?
 
Mnamtukuza sana uyo mama mnalipwa au? Ukiona mtu anasifiwa sana kuna walakini.
Na ndio maana waswahili wakasema "Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza". Ukiangalia mabango na mapambio ya hongera mama huko ndio kujitembeza kwenyewe.

Kinyesi hata ukifukize na udi kitabaki kuwa kinyesi tu.
 
Ila kama hulipwi kwa kazi hii, basi wewe ni fungu la kukosa.

Kiufupi serikali ya huyu dada imefeli tayari.
huyo ukimkuta kwenye vijiwe vya kahawa anamnanga mama mwanzo mwisho. Hapa yupo kibaruani, inabidi asifie tu hata visivyosifika.
 
Ila kama hulipwi kwa kazi hii, basi wewe ni fungu la kukosa.

Kiufupi serikali ya huyu dada imefeli tayari.
Sasa kama wewe ndio kipimo cha kufeli kuna shida gani? Acha iendelee kufeli kama kufeli ndio huku 😀😀

Mwisho silipwi hata sumuni

Screenshot_20220404-113716.png
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Mwaka mmja wa Rais SSH madarakani,wakala wa barabarani za Vijijini na Mijini Tarura imeendelea kuleta mageuzi makubwa ya barabara za Vijijini na Mijini kwa kufungua Nchi kufika kusiko fikika hivyo . kuwanufaisha wananchi.

Ikumbukwe kabla ya kuongezewa bajeti, barabara za Vijijini ilikuwa ni kilio kikubwa sana kwa wanachi wa Vijijini lakini mama alisikia kilio na Sasa matokeo yanaonekana.

Sio tuu barabara za changarawe na madaraja yanajengwa bali hadi Vijijini huko lami zinazidi kutandazwa.

Bado mama ana miaka 4 zaidi,wanaomchukia watampenda wenyewe bila kulazimishwa.

Twende Kazi Mama matunda yako tunayaona👇

View attachment 2175173

View attachment 2175174

View attachment 2175175

View attachment 2175176

View attachment 2175177

View attachment 2175178

View attachment 2175179

View attachment 2175180

View attachment 2175181

View attachment 2175182

View attachment 2175183

Mapinduzi kama ya Tanesco. Kuanza kupata umeme wa mgao 😂 😂 😂 😂 😂
 
Toa ufafanuzi hiyo miradi toka proposal zake zinaandaliwa na budget zake zinapitishwa ilikuwa ni kipindi gani?..au kama Hilo gumu utekelezaji wake ulianza kipindi gani kisha utajua pesa ilitoka kwa kiongozi yupi...EVENTHOUGH THAT IS THEIR JOB AND ITS TAX PAYERS MONEY SO THERE IS NO NEED TO PRAISE THEM

Sent from my SM-N9100 using JamiiForums mobile app
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Mwaka mmja wa Rais SSH madarakani,wakala wa barabarani za Vijijini na Mijini Tarura imeendelea kuleta mageuzi makubwa ya barabara za Vijijini na Mijini kwa kufungua Nchi kufika kusiko fikika hivyo . kuwanufaisha wananchi.

Ikumbukwe kabla ya kuongezewa bajeti, barabara za Vijijini ilikuwa ni kilio kikubwa sana kwa wanachi wa Vijijini lakini mama alisikia kilio na Sasa matokeo yanaonekana.

Sio tuu barabara za changarawe na madaraja yanajengwa bali hadi Vijijini huko lami zinazidi kutandazwa.

Bado mama ana miaka 4 zaidi,wanaomchukia watampenda wenyewe bila kulazimishwa.

Twende Kazi Mama matunda yako tunayaona👇

View attachment 2175173

View attachment 2175174

View attachment 2175175

View attachment 2175176

View attachment 2175177

View attachment 2175178

View attachment 2175179

View attachment 2175180

View attachment 2175181

View attachment 2175182

View attachment 2175183
Hii ya TARURA, naunga mkono hoja maana mimi mwenyewe ni shuhuda wa kazi nzuri kabisa ya kupendeza na kutukuka inayofanywa na Tarura kwa Barabara za Vijijini na Mijini.

Hebu shuhudia

P
 
Back
Top Bottom