Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Tafsiri ya maendeleo ni kukuwa kutoka hatua moja kwenda nyingine. Ninalopinga mimi ni swala la kuonyesha kuwa ni 'jitihada binafsi' za mtu mmoja katika kila jambo linalofanywa.Ni makubwa ndio,kwako tafsiri ya maendeleo ni ipi?
Asante Samia kwa barabara, asante Samia kwa hospitali. In a long term hii linakuwa kama jaribio la kupambaza halaiki kuwa ni Samia ndio kafanya yote haya na si kodi za mwananchi hivyo ni mali ya Samia. Hii inaodosha uzalendo katika kulinda mali husika kwa kuweka dhana kuwa ni vya mtu fulani.