Mwaka mmja wa Rais SSH madarakani,wakala wa barabarani za Vijijini na Mijini Tarura imeendelea kuleta mageuzi makubwa ya barabara za Vijijini na Mijini kwa kufungua Nchi kufika kusiko fikika hivyo . kuwanufaisha wananchi.
Ikumbukwe kabla ya kuongezewa bajeti, barabara za Vijijini ilikuwa ni kilio kikubwa sana kwa wanachi wa Vijijini lakini mama alisikia kilio na Sasa matokeo yanaonekana.
Sio tuu barabara za changarawe na madaraja yanajengwa bali hadi Vijijini huko lami zinazidi kutandazwa.
Bado mama ana miaka 4 zaidi,wanaomchukia watampenda wenyewe bila kulazimishwa.
Kwanini nguvu kubwa sana inatumika kutuaminisha kuwa kila maendeleo yanayofanyika ni jitihada binafsi ya raisi. Hizi hongera zimekuwa nyingi kama vile pesa inatoka mfukoni kwake.

Lipiani matangazo yenu wapuuzi nyie, hakuna la maana mnafanya magari kila siku yanakwama sababu ya barabara mbovu, sema mifuko yenu imefunguka vizuri sn
Lipiani matangazo yenu wapuuzi nyie, hakuna la maana mnafanya magari kila siku yanakwama sababu ya barabara mbovu, sema mifuko yenu imefunguka vizuri sn
hakuna maendeleo lakini wanajaribu kukuza kila kitu tuone kama vile kuna makubwa mno yanafanywa. Ukipita mabarabarani mabango yametanda kumpongeza kwa kile ambacho hakionekani. Kwa jitihada inayofanywa kumuonyesha kuwa ni bora sana, sitostaajabu tukiona bango la hongera mama kwa kuleta mvua nyingi ndani ya mwaka mmoja.
hakuna maendeleo lakini wanajaribu kukuza kila kitu tuone kama vile kuna makubwa mno yanafanywa. Ukipita mabarabarani mabango yametanda kumpongeza kwa kila ambacho hakionekana. Kwa jitihada inayofanywa kumuonyesha kuwa ni bora sana, sitostaajabu tukiona bango la hongera mama kwa kuleta mvua nyingi ndani ya mwaka mmoja.
kuna mrejesho na matangazo. Mrejesho huwa haumbatani na pongezi kwa mtu mmoja. Unapoweka pongezi ni tayari lishakuwa jambo binafsi hivyo kutoa hongera kwa jitihada 'binafsi'.