Mwaka mmoja wa Samia madarakani, TARURA yafanya mapinduzi ya kufungua Nchi kufika kusikofikika kwa barabara za Vijijini na Mijini

Ni makubwa ndio,kwako tafsiri ya maendeleo ni ipi?
Tafsiri ya maendeleo ni kukuwa kutoka hatua moja kwenda nyingine. Ninalopinga mimi ni swala la kuonyesha kuwa ni 'jitihada binafsi' za mtu mmoja katika kila jambo linalofanywa.

Asante Samia kwa barabara, asante Samia kwa hospitali. In a long term hii linakuwa kama jaribio la kupambaza halaiki kuwa ni Samia ndio kafanya yote haya na si kodi za mwananchi hivyo ni mali ya Samia. Hii inaodosha uzalendo katika kulinda mali husika kwa kuweka dhana kuwa ni vya mtu fulani.
 
Nchi imekuwa ya watu wajinga sn, usishangae TFF wakampa tuzo ya ufungaji bora badala ya Mayele.
 
Sio jitihada binafsi za Rais bali kwa uongozi wake tumetoka hatua moja kwenda nyingine..

Si mlikuwa mnapinga na kutukana Kuhusu tozo na juzi kaamuru zirudi,sasa haya ndio matokeo yake

 
Nchi imekuwa ya watu wajinga sn, usishangae TFF wakampa tuzo ya ufungaji bora badala ya Mayele.
halitokuwa jambo la ajabu. Maana kila linalojiri ni jitahada za Samia.

Yale yenye mantiki hayaonekani kama vile kupanda kwa bei vitu kila kukicha kwa kisingizio cha Samia huyo huyo kuwa ni sababu ya vita.
Kupandishwa bei Alizeti inayotoka Singida hapo kuna husiana nini na vita ya ukraine na Russia.
 
Sio jitihada binafsi za Rais bali kwa uongozi wake tumetoka hatua moja kwenda nyingine..

Si mlikuwa mnapinga na kutukana Kuhusu tozo na juzi kaamuru zirudi,sasa haya ndio matokeo yake

View attachment 2175202
ndani ya nafsi yako unajua fika kuwa hii yote ni propaganda ya kutuaminisha kuwa kuna jambo mama anafanya lakini in reality tunalishwa pumba tu. Hutokiri sababu ni dhahiri upo kazini na lazima utetee kula yako.
 
ndani ya nafsi yako unajua fika kuwa hii yote ni propaganda ya kutuaminisha kuwa kuna jambo mama anafanya lakini in reality tunalishwa pumba tu. Hutokiri sababu ni dhahiri upo kazini na lazima utetee kula yako.
Pole Sana ,Kati yako wewe na kamati ya Bunge nani anafanya propaganda za kitoto?

 

Ivi maendeleo ni nini au mimi sielewi, Mleta mada nataka nikuulize swali ukisema maendeleo unaelewa nn? Ivi uyu bi mkubwa kaleta maendeleo gani au wewe unaishi ukraine?

Ebu tembea kidogo wacha kukaa sehemu moja kunakufanya Usijue mengi sana mpaka dakika hii mama yako keshafeli kimahesabu kawakumbatia manyang’au akizani watamsaidia lakini wale ndo watakao mmaliza wale ni watu wa fursa wapo pale kwa Maslai yao na watoto wao....

Mkuu maisha huku uraiani yamebadilika sana yamekuwa magumu sana kwaiyo mwaka mmoja wa mama samia ni upuuzi tu Hakuna la maana limefanyika,

Siku moja naangalia tv alikuwa akihutubia sikumbuki ni mkoa gani lakini alionekana mama mmoja akiwa na Bango amezulimiwa ardhi na alikuwa akijitahidi kupita amuombe raisi wake amsaidie, kiukweli roho iliniuma samia alimjibu vbaya sana yule mama kwamba ambu rudi huko tafazali watakusikikiza uko watakusaidia huko. Uyo ndo raisi na yule ni mwanamke mwenzie alishidwa kumsikiliza mwaka mmoja wa samia suluhu

Endelea kusifia j5 ya mwanzo wa mwezi ni kesho kutwa na bei za mafuta zitabadilika na ndo utasema mwaka mmoja wa samia amefanya nini!!! Najua unajua mafuta yakipanda zaidi nini kitatokea
 
Maendeleo ana maanisha rushwa alizopokea toka kwa wakadarasi akajenga nyumba nzuri, kununua gari ya kutembelea, kuhonga vimada n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…