Ninaniniyule
Senior Member
- Mar 20, 2018
- 101
- 145
Uko sahihi na aliesema kuwa ni mzungu pia yupo sahihi.Kwa maana mkandarasi ni Kings wa Dsm kwa upande wa kilolo na kwa Mufindi ni Gs ya Iringa na Hemates jv Webco za Dsm.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nimecheka kishenzi.
Mkuu huko kuna mradi unaitwa Agri connect funded by European Union,uko mikoa ya Iringa,Njombe,Mbeya na baadhi ya mikoa yenye uzalishaji wa Mazao ya kilimo na biashara hakuna cha mzungu wala nani [emoji51][emoji51]..
Tuwekee huyo Mkandarasi wa kizungu utuonueshe hapa
Katika swala la kuimba na kutukuza, wewe umefika kwenye level za Kerubi.
Fedha za mkopo hizo na mradi upo mpaka 2026 kwa maeneo tofauti tofauti ya mikoa..Uko sahihi na aliesema kuwa ni mzungu pia yupo sahihi.Kwa maana mkandarasi ni Kings wa Dsm kwa upande wa kilolo na kwa Mufindi ni Gs ya Iringa na Hemates jv Webco za Dsm.
Fedha zimetolewa na European union
Unazani kila mtu anayemkosoa mama ni sukuma gang, we unazani kila mtu ni fala kama wewe unayelipwa.Legacy inazidi kufutwa π€£π€£π€£.
Wewe sukuma gang hawakulipi?
Do you have a proper functioning mind at all?Alichagulia ma watanzania wa wapi? Huyo dada yenu failure hana uwezo wowote wa kuongoza.
Hizi za kutukuza na kusifu nazo ni activity na zina bajeti zake, nchi hizi za kiafrika kila kitu ni fursa.hakuna maendeleo lakini wanajaribu kukuza kila kitu tuone kama vile kuna makubwa mno yanafanywa. Ukipita mabarabarani mabango yametanda kumpongeza kwa kile ambacho hakionekani. Kwa jitihada inayofanywa kumuonyesha kuwa ni bora sana, sitostaajabu tukiona bango la hongera mama kwa kuleta mvua nyingi ndani ya mwaka mmoja.
Mradi wa Rise bado unachangamoto kiasi.kuna debate ya gravel vs lami.Fedha za mkopo hizo na mradi upo mpaka 2026 kwa maeneo tofauti tofauti ya mikoa..
Ukiacha huo unakuja mradi mwingine wa RISE maeneo mbalimbali nao ni lami.
Waambie wanavijiji hao wazungu hawajajileta
Unajua jinsi Barabara ya Sawala -Mkonge -iyegeya ilivyochaguliwa na Agri connect program?Fedha za mkopo hizo na mradi upo mpaka 2026 kwa maeneo tofauti tofauti ya mikoa..
Ukiacha huo unakuja mradi mwingine wa RISE maeneo mbalimbali nao ni lami.
Waambie wanavijiji hao wazungu hawajajileta
Wewe jua kwamba hayo ni matunda ya mama.Tutaanza kuulizana hadi mchakato wa kumpata Mkandarasi sasa.Unajua jinsi Barabara ya Sawala -Mkonge -iyegeya ilivyochaguliwa na Agri connect program?
Huyo dada yenu hawezi kuongoza.
Haya mapambio nayo yanamwisho wake.......Nawasalimu kwa jina la JMT.
Mwaka mmja wa Rais SSH madarakani,wakala wa barabarani za Vijijini na Mijini Tarura imeendelea kuleta mageuzi makubwa ya barabara za Vijijini na Mijini kwa kufungua Nchi kufika kusiko fikika hivyo . kuwanufaisha wananchi.
Ikumbukwe kabla ya kuongezewa bajeti, barabara za Vijijini ilikuwa ni kilio kikubwa sana kwa wanachi wa Vijijini lakini mama alisikia kilio na Sasa matokeo yanaonekana.
Sio tuu barabara za changarawe na madaraja yanajengwa bali hadi Vijijini huko lami zinazidi kutandazwa.
Bado mama ana miaka 4 zaidi,wanaomchukia watampenda wenyewe bila kulazimishwa.
Twende Kazi Mama matunda yako tunayaonaπ
View attachment 2175274
View attachment 2175173
View attachment 2175174
View attachment 2175175
View attachment 2175176
View attachment 2175177
View attachment 2175178
View attachment 2175179
View attachment 2175180
View attachment 2175181
View attachment 2175182
View attachment 2175183
Utasubiri hadi unafukiwa π€£π€£Haya mapambio nayo yanamwisho wake.......
Mimi bado nasubiri kuona hizo barabara Wilaya ya Mvomero,sijaziona.Nawasalimu kwa jina la JMT.
Mwaka mmja wa Rais SSH madarakani,wakala wa barabarani za Vijijini na Mijini Tarura imeendelea kuleta mageuzi makubwa ya barabara za Vijijini na Mijini kwa kufungua Nchi kufika kusiko fikika hivyo . kuwanufaisha wananchi.
Ikumbukwe kabla ya kuongezewa bajeti, barabara za Vijijini ilikuwa ni kilio kikubwa sana kwa wanachi wa Vijijini lakini mama alisikia kilio na Sasa matokeo yanaonekana.
Sio tuu barabara za changarawe na madaraja yanajengwa bali hadi Vijijini huko lami zinazidi kutandazwa.
Bado mama ana miaka 4 zaidi,wanaomchukia watampenda wenyewe bila kulazimishwa.
Twende Kazi Mama matunda yako tunayaonaπ
View attachment 2175274
View attachment 2175173
View attachment 2175174
View attachment 2175175
View attachment 2175176
View attachment 2175177
View attachment 2175178
View attachment 2175179
View attachment 2175180
View attachment 2175181
View attachment 2175182
View attachment 2175183
Barabara zipi unasubiria kuziona? Za lami au vumbi/ changarawe?Mimi bado nasubiri kuona hizo barabara Wilaya ya Mvomero,sijaziona.
Nilitaka nikupe taarifa sahihi juu ya mradi mzima wa Agri connect haswa mkoa wa Iringa maana najua a to z.Wewe jua kwamba hayo ni matunda ya mama.Tutaanza kuulizana hadi mchakato wa kumpata Mkandarasi sasa.
Hoja ni imejengwa awamu ya mama
Mipasho ipi? Basi huo mradi umefanyika sio chini ya uongozi wakoNilitaka nikupe taarifa sahihi juu ya mradi mzima wa Agri connect haswa mkoa wa Iringa maana najua a to z.
Sasa unapendelea mipasho.
Endelea na Kazi nzuri.
Sijasimamia mradi.Mipasho ipi? Basi huo mradi umefanyika sio chini ya uongozi wako
Nadhani wameshagundua kwamba huku mtaani JPM bado anasifiwa zaidi kuliko SSH, kwa hiyo hizi ni jitihada kubwa zinazofanywa ili kujaribu kumfunika JPM.Kwa jitihada inayofanywa kumuonyesha kuwa ni bora sana, sitostaajabu tukiona bango la hongera mama kwa kuleta mvua nyingi ndani ya mwaka mmoja.
πππππππππͺπͺπππΌπΌNawasalimu kwa jina la JMT.