Mwaka mmoja wa Samia madarakani, TARURA yafanya mapinduzi ya kufungua Nchi kufika kusikofikika kwa barabara za Vijijini na Mijini

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nimecheka kishenzi.

Mkuu huko kuna mradi unaitwa Agri connect funded by European Union,uko mikoa ya Iringa,Njombe,Mbeya na baadhi ya mikoa yenye uzalishaji wa Mazao ya kilimo na biashara hakuna cha mzungu wala nani [emoji51][emoji51]..

Tuwekee huyo Mkandarasi wa kizungu utuonueshe hapa
Uko sahihi na aliesema kuwa ni mzungu pia yupo sahihi.Kwa maana mkandarasi ni Kings wa Dsm kwa upande wa kilolo na kwa Mufindi ni Gs ya Iringa na Hemates jv Webco za Dsm.
Fedha zimetolewa na European union
 
Fedha za mkopo hizo na mradi upo mpaka 2026 kwa maeneo tofauti tofauti ya mikoa..

Ukiacha huo unakuja mradi mwingine wa RISE maeneo mbalimbali nao ni lami.

Waambie wanavijiji hao wazungu hawajajileta
 
Alichagulia ma watanzania wa wapi? Huyo dada yenu failure hana uwezo wowote wa kuongoza.
Do you have a proper functioning mind at all?

Wa Ukraine,fool 👇

Screenshot_20220222-100231.jpg
 
hakuna maendeleo lakini wanajaribu kukuza kila kitu tuone kama vile kuna makubwa mno yanafanywa. Ukipita mabarabarani mabango yametanda kumpongeza kwa kile ambacho hakionekani. Kwa jitihada inayofanywa kumuonyesha kuwa ni bora sana, sitostaajabu tukiona bango la hongera mama kwa kuleta mvua nyingi ndani ya mwaka mmoja.
Hizi za kutukuza na kusifu nazo ni activity na zina bajeti zake, nchi hizi za kiafrika kila kitu ni fursa.
 
Fedha za mkopo hizo na mradi upo mpaka 2026 kwa maeneo tofauti tofauti ya mikoa..

Ukiacha huo unakuja mradi mwingine wa RISE maeneo mbalimbali nao ni lami.

Waambie wanavijiji hao wazungu hawajajileta
Mradi wa Rise bado unachangamoto kiasi.kuna debate ya gravel vs lami.
Kwa Mufindi wamechagua Barabara ya Mtili - Ifwagi - Mkuta kilomita 14.
Kama una maswali uliza.kuhusu Rise na Agri connect.ili utoe taarifa sahihi
 
Fedha za mkopo hizo na mradi upo mpaka 2026 kwa maeneo tofauti tofauti ya mikoa..

Ukiacha huo unakuja mradi mwingine wa RISE maeneo mbalimbali nao ni lami.

Waambie wanavijiji hao wazungu hawajajileta
Unajua jinsi Barabara ya Sawala -Mkonge -iyegeya ilivyochaguliwa na Agri connect program?
 
Wewe jua kwamba hayo ni matunda ya mama.Tutaanza kuulizana hadi mchakato wa kumpata Mkandarasi sasa.

Hoja ni imejengwa awamu ya mama
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Mwaka mmja wa Rais SSH madarakani,wakala wa barabarani za Vijijini na Mijini Tarura imeendelea kuleta mageuzi makubwa ya barabara za Vijijini na Mijini kwa kufungua Nchi kufika kusiko fikika hivyo . kuwanufaisha wananchi.

Ikumbukwe kabla ya kuongezewa bajeti, barabara za Vijijini ilikuwa ni kilio kikubwa sana kwa wanachi wa Vijijini lakini mama alisikia kilio na Sasa matokeo yanaonekana.

Sio tuu barabara za changarawe na madaraja yanajengwa bali hadi Vijijini huko lami zinazidi kutandazwa.

Bado mama ana miaka 4 zaidi,wanaomchukia watampenda wenyewe bila kulazimishwa.

Twende Kazi Mama matunda yako tunayaona👇
View attachment 2175274
View attachment 2175173

View attachment 2175174

View attachment 2175175

View attachment 2175176

View attachment 2175177

View attachment 2175178

View attachment 2175179

View attachment 2175180

View attachment 2175181

View attachment 2175182

View attachment 2175183
Haya mapambio nayo yanamwisho wake.......
 
Mimi bado nasubiri kuona hizo barabara Wilaya ya Mvomero,sijaziona.
 
Wewe jua kwamba hayo ni matunda ya mama.Tutaanza kuulizana hadi mchakato wa kumpata Mkandarasi sasa.

Hoja ni imejengwa awamu ya mama
Nilitaka nikupe taarifa sahihi juu ya mradi mzima wa Agri connect haswa mkoa wa Iringa maana najua a to z.
Sasa unapendelea mipasho.
Endelea na Kazi nzuri.
 
Mipasho ipi? Basi huo mradi umefanyika sio chini ya uongozi wako
 
Planning imeanza mwishoni mwa. Awamu ya Nne Ujenzi umeanza awamu ya Tano.Umaliziaji awamu ya Sita
 
Kwa jitihada inayofanywa kumuonyesha kuwa ni bora sana, sitostaajabu tukiona bango la hongera mama kwa kuleta mvua nyingi ndani ya mwaka mmoja.
Nadhani wameshagundua kwamba huku mtaani JPM bado anasifiwa zaidi kuliko SSH, kwa hiyo hizi ni jitihada kubwa zinazofanywa ili kujaribu kumfunika JPM.
Si tunakumbuka mama juzi kasema kulikuwa na nidhamu ya woga serikalini na haikuleta mabadilikomakubwa? Basi ujumbe ni kuwa 'yule jamaa' hakuwa mzuri kihivyo, mimi naleta kitu bora zaidi yake, nidhamu ya moyoni ili kuifunika nidhamu ya woga!
Sina uhakika kama hii strategy itafanikiwa kweli kubadilisha mtazamo wa watu huku mtaani.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Mwaka mmja wa Rais SSH madarakani,wakala wa barabarani za Vijijini na Mijini Tarura imeendelea kuleta mageuzi makubwa ya barabara za Vijijini na Mijini kwa kufungua Nchi kufika kusiko fikika hivyo . kuwanufaisha wananchi.

Ikumbukwe kabla ya kuongezewa bajeti, barabara za Vijijini ilikuwa ni kilio kikubwa sana kwa wanachi wa Vijijini lakini mama alisikia kilio na Sasa matokeo yanaonekana.

Sio tuu barabara za changarawe na madaraja yanajengwa bali hadi Vijijini huko lami zinazidi kutandazwa.

Bado mama ana miaka 4 zaidi,wanaomchukia watampenda wenyewe bila kulazimishwa.

Twende Kazi Mama matunda yako tunayaona👇
View attachment 2175274
View attachment 2175173

View attachment 2175174

View attachment 2175175

View attachment 2175176

View attachment 2175177

View attachment 2175178

View attachment 2175179

View attachment 2175180

View attachment 2175181

View attachment 2175182

View attachment 2175183
😍😍🙏🙏👍👍👏👏💪💪👊👊🎼🎼
 
Back
Top Bottom