Ninaniniyule
Senior Member
- Mar 20, 2018
- 101
- 145
Uko sahihi na aliesema kuwa ni mzungu pia yupo sahihi.Kwa maana mkandarasi ni Kings wa Dsm kwa upande wa kilolo na kwa Mufindi ni Gs ya Iringa na Hemates jv Webco za Dsm.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nimecheka kishenzi.
Mkuu huko kuna mradi unaitwa Agri connect funded by European Union,uko mikoa ya Iringa,Njombe,Mbeya na baadhi ya mikoa yenye uzalishaji wa Mazao ya kilimo na biashara hakuna cha mzungu wala nani [emoji51][emoji51]..
Tuwekee huyo Mkandarasi wa kizungu utuonueshe hapa
Fedha zimetolewa na European union