kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 119
- 240
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Salum Hamdun amesema Tanzania imetambulika kuwa ni miongoni mwa nchi chache Afrika zilizopiga hatua katika mapambano dhidi ya Rushwa. Kwa mujibu wa shirika la International inaonyesha Tanzania imeshika nafasi ya 2 katika nchi za Afrika Mashariki huku duniani ikipanda kutokana nafasi ya 119 hadi ya 87.
Tanzania inaendelea kupiga hatua na kuonyesha kufanya vizuri kwa mwaka wa tatu mfululizo katika kukabiliana rushwa hususani kwa kuzuia hongo, matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji katika mihimili ya utawala, mahakama na bunge.
Tanzania inaelekea pazuri kwa kuwa imefanikiwa kudhibiti rushwa kwa kiasi kikubwa ambayo inachochea Taifa kutokupata maendeleo, watu kunyimwa haki zao na kuleta migogoro kwenye jamii.