Mwaka mpya umekukuta wapi na ukifanya nini?

Mkuu vipi
Hujanimention apo asee

😄ila amna noma shukrani, heri ya mwaka mpya kwako pia
 
Duh ni noma ila mfungo mwaka huu ni February so valentine, eid na pasaka vitafuatana kwa karibu so atauza🤣
Jamaa wa pharmacy ana mahesabu makali mno. Anajua kutarget misimu ya kukulana. Anasema hapo ndio kuna hela mno. Ndio maana pharmacy nyingi zimekaa karibu na maeneo ya starehe au karibu na vyuo au katikati kwenye center yenye watu wengi, kuna kukulana mno. Ni Mkongwe wa sekta hiyo kwa hiyo anajua anachokifanya 🤣
 
Kumbe hiyo ndio cue ya kufungua pharmacy, sio ufungue karibu na kanisa🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…