Mwaka mpya umekukuta wapi na ukifanya nini?

😂😂😂😂😂
 
Kwasisi tunaofanya kwenye machimbo hii biashara ni nzuri sana maana miner ni kwere kwenye sekta ya kuchakata mbususu kama Zero IQ
Ndio maana pharmacy na hospitali nyingi za maeneo karibu na machimbo huwa zina hela sana. Kukulana kuna hela sana. Kuna mzee mmoja mfanyabiashara ana hospitali na pharmacy huko geita anasema magonjwa kama uti, kaswende na kisonono yanampa hela sana. Bila kusahau madawa ya uzazi wa mpango na condom. Anasema hakosagi 10m hadi 25m kutokana na hiyo sekta 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…