Mwaka mpya umekukuta wapi na ukifanya nini?

Kidogo tu unikute nazini! ila namshukuru mungu demu alishindwa kutoka kwao!
 
Kuna janga lilinipata nikiwa form 2, 1999 tukiwa kwenye harakati za kuhama viwanja kusherekea Mwaka mpya...nilioata funzo la kutulia kbs kwenye sherehe za mfananowa kukesha!
 
Imenikuta nikiwa nacheza Game hadi asubuh niki sindikizwa na mvua all night
 
Fungulia uzi komredi tupate kujifunza
Tulipata ajali ya gari washikaji wawili wa mtaani walifariki, mm nilivunjika collar borne ya mkono wa kulia, wengine waliugulia miezi kukaa sawa. Wazazi walisikitika sana kwa sababu kwanza ilikuwa kama tulitoroka huo usiku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…