Mwaka mpya umekukuta wapi na ukifanya nini?

Tulipata ajali ya gari washikaji wawili wa mtaani walifariki, mm nilivunjika collar borne ya mkono wa kulia, wengine waliugulia miezi kukaa sawa. Wazazi walisikitika sana kwa sababu kwanza ilikuwa kama tulitoroka huo usiku!
Mlikuwa mwendokasi sana au ndo aliyekuwa anaendesha hakuwa amekwiva barabarani?!
 
Kilingeni matambiko na kafara zote kwa mababu, kondoo mzima kafukiwa chini miji ya watu mizito ukiishi kindezi ndezi utakuwa unasindikiza wenzako.
Wewe nenda kaombewe tutakutana field
Utamaduni ni muhimu sio
 
Kuna janga lilinipata nikiwa form 2, 1999 tukiwa kwenye harakati za kuhama viwanja kusherekea Mwaka mpya...nilioata funzo la kutulia kbs kwenye sherehe za mfananowa kukesha!
Ulikutwa na nini ndugu
 
ukisheherekea sana mwaka mpya unajiandaa kuumia tuπŸ˜‚

unajiwekea ahadi mbalimbali

kadri mwaka unavyozidi kwenda na hujatimiza ahadi, unaumia
Uko sawa kaka. Lakini mwisho wa siku lazima ujiwekee goals unazotaka ku achieve ndani ya muda fulani. Labda tofauti tu ni kuwa wewe hutaki kuset goals zako kuendana na mwaka mpya
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
A Alaf dar naona wanaongoza Yani usitoke safar usiku siku za sikukuu ama weekend nyumba za kulala wageni full had hotel πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…