Mwaka mzima kavukavu!

Mwaka mzima kavukavu!

Pole ndugu yangu, mimi na miaka miwili sijachakachua. Huku niliko ukionekana umesimama na binti unakatwa kichwa. Huku hakuna kuchakachua mpaka Uoe. Yaani huku kuanzia chekechea mpaka vyuo vikuu hakuna mchanganyiko, hospitali huwezi kutibiwa na daktari wa jinsia tofauti, kweli tembea uone mambo.

Yaani hizi nchi nimekoma nikiondoka sirudi ngo!!!!

Hapo ndio maisha tuliyonayo basi tuendelee kuvumilia tu ipo siku tutarudi kwetu kwenda kwenye mafungu ya Nyanya kufunua na kufunika
 
Back
Top Bottom