We've only today. Niambie Kuna tofauti gani ya Leo ama Jana ama kesho. Yaani una siku moja tu ya kuishi,kesho itaendelea kuwepo na hutoweza kuifikia na Jana imeshatoka na huwezi kwenda Jana ama go back. Yaani unayo Leo pekee basi na wala. Hakuna kinachobadilika