Mwaka umeanza vibaya, Mwanamke ameniacha, Haina shida nashukuru Mungu tu

Mwaka umeanza vibaya, Mwanamke ameniacha, Haina shida nashukuru Mungu tu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Huyu dada nimekuwa naye kama miezi 6 sasa. Siku zote alikuwa mstaarabu sana.... Siku za karibuni nlianza tu kuona nakosa hisia kwake. Sababu mahitaji yake yalikuwa yanazidi kila siku.

Leo ameamua kuniacha. Kaniacha katika kipindi ambacho namwitaji sana kutokana na hizi mvua na hali ya hewa.
Screenshot_2024-01-21-12-50-20-712_com.whatsapp~2.jpg
Screenshot_2024-01-21-12-50-30-036_com.whatsapp~2.jpg
Screenshot_2024-01-21-12-50-43-703_com.whatsapp~2.jpg
Screenshot_2024-01-21-12-50-39-674_com.whatsapp~4.jpg
 
Mtavurugwa kinoma. Ila wala hajakuacha bali anakutishia. Ila kama ana-gut ya kukutukana hivyo we mshukuru Mungu tu maana hicho kikombe hukiwezi. Ila broo na wewe acha zongwa, wengine wamehonga gari, we mafuta tu yanakushinda?
 
Unabaki kusema nashukuru, kwani ulikuwa unabarikiwa?

Kutwa kujidai kidume humu jukwaani, kutunishiana misuli na wanajukwaa. Ila huko njia umelegea ka mlenda pori.
Sisi huwa hatutukani wanawake. Ni mwiko kwetu. Sisi kwetu mwanamke akikutukana unamwambi asante. Kisha unamsubiriq kitandani. Basi. Atakuomba msamaha.
 
Back
Top Bottom