Mwaka umeisha Beira Baby Boy ndo sukar ya warembo wa mwaka. Daby na Rrondo wanafata

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Mwaka ndo hivyo umeisha wazee, kila mwaka huwa kuna mkali wake

Kwa sisi wana jf wakongwe tunaijua fresh jf toka kitambo na waliotamba

kila mwaka huwa una sukar ya warembo lakin mwaka huu mimi ndo SUKARI YA WAREMBO
Kwanza kila siku nilikuwa napokea PM mpya kutoka kwa warembo tofaut na story zangu ndo zilikuwa zinavuta warembo wengi

Lakin baada ya masela wenye hira kuona mimi ndo icon ya warembo na watoto wakali wakaanza fitina na maneno mengi wengine had wakawa wananianzishia maada wakidai mimi nina story za kipuuz

Kuna masela walianza fresh lakin walikwama kumufikia London boy
Kwa mfano mshikaj wangu DJ SEPETU NA HANCE MTANASHATI

lakin kuna washikaj wengine wawili walijitaid lakin nao pia walikwama labda wajaribu mwakan maana nataka kusitafu kurusha mastory ambao ni DABY NA RRONDO hawa wakomae mwakan watachukua nafas

Kwahiyo bas nataka kuweka mambo sawa kuwa BEIRA BOY AU LONDON BOY NDO SUKARI YA WAREMBO WA MWAKA HUU WA 2017


LONDON BOY
SUKAR YA WAREMBO WA JF
 
Takwimu zako za uongo mm mbona kwenye list sipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…