Mwaka umeisha Beira Baby Boy ndo sukar ya warembo wa mwaka. Daby na Rrondo wanafata

Beira baby Boy Mimi nakupongeza Sana Sana Ndugu yangu. Nakupenda kwanamna unavypenda kuishi na jamii
Haujui kuchukia atswakikutukana
Nakufananishi Kama IDF
Pongezi sana
Wanaokusema wanakukubali Sana ndio maana wanakifuatilia sana
Ndo hivyo mkuu jf ina zaid ya watu milion huwez kubalika na wote

Na wanasemaga mbwa ukimjua jina hakusumbui ndo kwa baadh ya member wao kaz yao ni kutukana tu hivyo inabidi tu uwatazame na uwaache kama walivyo

Kuna member mmoja ashawah kunitukana hapa jukwaan lakin nikamjibu tu ubalikiwe jamaa alijisikia vibaya sana had akaja pm kuniomba msamaha

Mama yangu alinambia mtu akikutukana kaa kimiya then mpuuze

FIDQ alisema chuki humchoma anayeihifadh
 
Mwanaume wewe washoka nakukubali Sana
Mwanaume Bora niyule anayesimamia anachokiamini
Nakupongeza Sana kwa namna unavyoishi hujui kuchukia
Waache wakuite shoga, bwabwa mwisho wasiku unabaki salama na Maisha yako
 
Wakiita wakongwe na wew utasogea[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nacheka kwa dharau............
Mkuu mimi ni mkongwe sema hii id ni mpya ile ya zaman cm ilipotea
 
Back
Top Bottom