Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beira baby Boy Mimi nakupongeza Sana Sana Ndugu yangu. Nakupenda kwanamna unavypenda kuishi na jamiiSawa mkuu
Analiwa labda.Sukari kivipi?
ni kweli tupuuuMbitiyaza eti ni kweli
She is a boyAnaliwa labda.
Vipi gudume[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] BTW kwanini wasije wenyewe watoe ya moyoniAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Mwaka ndo hivyo umeisha wazee, kila mwaka huwa kuna mkali wake
Kwa sisi wana jf wakongwe tunaijua fresh jf toka kitambo na waliotamba
kila mwaka huwa una sukar ya warembo lakin mwaka huu mimi ndo SUKARI YA WAREMBO
Kwanza kila siku nilikuwa napokea PM mpya kutoka kwa warembo tofaut na story zangu ndo zilikuwa zinavuta warembo wengi
Lakin baada ya masela wenye hira kuona mimi ndo icon ya warembo na watoto wakali wakaanza fitina na maneno mengi wengine had wakawa wananianzishia maada wakidai mimi nina story za kipuuz
Kuna masela walianza fresh lakin walikwama kumufikia London boy
Kwa mfano mshikaj wangu DJ SEPETU NA HANCE MTANASHATI
lakin kuna washikaj wengine wawili walijitaid lakin nao pia walikwama labda wajaribu mwakan maana nataka kusitafu kurusha mastory ambao ni DABY NA RRONDO hawa wakomae mwakan watachukua nafas
Kwahiyo bas nataka kuweka mambo sawa kuwa BEIRA BOY AU LONDON BOY NDO SUKARI YA WAREMBO WA MWAKA HUU WA 2017
LONDON BOY
SUKAR YA WAREMBO WA JF
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] deliciousShe is a boy
Tabia zako kama harmorapaAman iwe nanyi wapendwa katika bwana