Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Vituko vya JF, usikute mtoa mada ndio MBITIYAZA
Mmmh. Dunia hii si ya kumuamini mtu!hhahaha ! siku ukiniona utanijudge kama mie ni wa vituko vyepesi vyepes hv !lol!
kwanza muask bichwa coz ananjijua !alinipokea vyema nilipohamia hapa ! lol
Mhaya huyu!Wewe mtu ni kabila gani?
Profile yako inaonyesha umejoin JF aug 7, 2016. Na ni kweli kuanzia 2016 ndo kumekuwa na uzi nyingi zenye mada za kipumbavu na kwa hilo kweli unaongoza. Kuhusu kujiita sukari ya warembo unajua mwenyewe coz ushahidi unao pm kwako.Kwa sisi wana jf wakongwe tunaijua fresh jf toka kitambo na waliotamba
Wazo zuri sana bora ustaafu kabisa kurusha mastori yako yasiyoelewekamwakan maana nataka kusitafu kurusha mastory
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Mwaka ndo hivyo umeisha wazee, kila mwaka huwa kuna mkali wake
Kwa sisi wana jf wakongwe tunaijua fresh jf toka kitambo na waliotamba
kila mwaka huwa una sukar ya warembo lakin mwaka huu mimi ndo SUKARI YA WAREMBO
Kwanza kila siku nilikuwa napokea PM mpya kutoka kwa warembo tofaut na story zangu ndo zilikuwa zinavuta warembo wengi
Lakin baada ya masela wenye hira kuona mimi ndo icon ya warembo na watoto wakali wakaanza fitina na maneno mengi wengine had wakawa wananianzishia maada wakidai mimi nina story za kipuuz
Kuna masela walianza fresh lakin walikwama kumufikia London boy
Kwa mfano mshikaj wangu DJ SEPETU NA HANCE MTANASHATI
lakin kuna washikaj wengine wawili walijitaid lakin nao pia walikwama labda wajaribu mwakan maana nataka kusitafu kurusha mastory ambao ni DABY NA RRONDO hawa wakomae mwakan watachukua nafas
Kwahiyo bas nataka kuweka mambo sawa kuwa BEIRA BOY AU LONDON BOY NDO SUKARI YA WAREMBO WA MWAKA HUU WA 2017
LONDON BOY
SUKAR YA WAREMBO WA JF
Pamoja sana mkuuMwanaume wewe washoka nakukubali Sana
Mwanaume Bora niyule anayesimamia anachokiamini
Nakupongeza Sana kwa namna unavyoishi hujui kuchukia
Waache wakuite shoga, bwabwa mwisho wasiku unabaki salama na Maisha yako
ni kweliMmmh. Dunia hii si ya kumuamini mtu!