Ndo hivyo mkuu jf ina zaid ya watu milion huwez kubalika na woteBeira baby Boy Mimi nakupongeza Sana Sana Ndugu yangu. Nakupenda kwanamna unavypenda kuishi na jamii
Haujui kuchukia atswakikutukana
Nakufananishi Kama IDF
Pongezi sana
Wanaokusema wanakukubali Sana ndio maana wanakifuatilia sana
Anhaaa!Analiwa labda.
Ndotoni au?Sukar yaan ndo nimekula watoto weng humu
Mkuu ile ahadi yangu vipi?Anhaaa!
Hapo sawa.
Umenizidi wapi unatoa hoja za kitoto zisizo na msingi yaani ndo maana nakulinganisha na harmorapaIweeeee wagumaaaaa
Naona baada ya kukuzid kule umekuja huku kunishambulia
Ipiii?Mkuu ile ahadi yangu vipi?
Mwanaume wewe washoka nakukubali SanaNdo hivyo mkuu jf ina zaid ya watu milion huwez kubalika na wote
Na wanasemaga mbwa ukimjua jina hakusumbui ndo kwa baadh ya member wao kaz yao ni kutukana tu hivyo inabidi tu uwatazame na uwaache kama walivyo
Kuna member mmoja ashawah kunitukana hapa jukwaan lakin nikamjibu tu ubalikiwe jamaa alijisikia vibaya sana had akaja pm kuniomba msamaha
Mama yangu alinambia mtu akikutukana kaa kimiya then mpuuze
FIDQ alisema chuki humchoma anayeihifadh
Ile ya kukudanganyaIpiii?
Mtoto wakiumeni unajiita Baby Boy?Sawa