Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Namwambia kibungo wangu kuwa Nampenda ๐Ÿ˜‚
Dada angu mkwe kabisa
Mdudu mwenyewe ๐Ÿคฃ
Wakishua kabisa โ€˜the real boss Lady
Dada mwenye anasukuma Prado lake la mabati ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Aririiiiii
Nakupenda we na kaka ako๐Ÿฅฐ๐Ÿ’ƒ Lenie
 
Analyse asante kwa thread yako ya Jana,hakika naendelea kuishi nayo
The Icebreaker asante kwa kampani yako ndani ya jf...salute kwako Kamanda.
Lovelovie asante kwa upendo wako wa waz kwa wanawake mwenzio... Hongera kwa kujaaliwa moyo usio na kutu
Demi nakuelewa cute,majibu yako kama unajiandaa na honeymoon
kolola ....uwe na afya njema mkuu...pamoja sana

Countrywide nakukubali sana mkuu,hasa pale unapojibizana na mateacher ...sijui wamekukosea nn

mzabzab pamoja sana rafiki yangu,unaenichekea meno meupe ndani unaniangamiza๐Ÿ˜

WanaJF Mungu asiwaache kwa kila jambo mfanyalo na mlilolipanga kufanya.Nawapenda sana
 
Huko kwenda honeymoon vipiii? Ha haa umenichekesha. Asante shoga yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ