Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Nashukuru kwa kunikumbuka. Una account ya Bank ambayo naweza tuma pesa nikiwa huku Argentina? Angalau tu Usd kadhaa ukaenjoy nawe sikukuu.
Dah mkuu nashukuru kwa moyo wako wa kujitolea niseme asante utanitumia siku nyingine😂😂
 
Mwisho wa mwaka unakaribia Sasa sijui ninani unataka kumwambia Nini mie nawatakia sikukuu njema wanajf wote
Ww ni mwanaume kenge ww acha kufake personality huku
Screenshot_20230404-223611~2.png
Screenshot_20230329-225001~2.png
 
Back
Top Bottom