92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Dah mkuu nashukuru kwa moyo wako wa kujitolea niseme asante utanitumia siku nyingine😂😂Nashukuru kwa kunikumbuka. Una account ya Bank ambayo naweza tuma pesa nikiwa huku Argentina? Angalau tu Usd kadhaa ukaenjoy nawe sikukuu.