Analyse asante kwa thread yako ya Jana,hakika naendelea kuishi nayo
The Icebreaker asante kwa kampani yako ndani ya jf...salute kwako Kamanda.
Lovelovie asante kwa upendo wako wa waz kwa wanawake mwenzio... Hongera kwa kujaaliwa moyo usio na kutu
Demi nakuelewa cute,majibu yako kama unajiandaa na honeymoon
kolola ....uwe na afya njema mkuu...pamoja sana
Countrywide nakukubali sana mkuu,hasa pale unapojibizana na mateacher ...sijui wamekukosea nn
mzabzab pamoja sana rafiki yangu,unaenichekea meno meupe ndani unaniangamiza😏
WanaJF Mungu asiwaache kwa kila jambo mfanyalo na mlilolipanga kufanya.Nawapenda sana