Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Antonnia mwanangu;
Ninaamini Mungu anakitunza vyema.
Ninakutakia baraka tele unauendea mwaka wako wa mafanikio 2023😍
 
you're more than a brother to Me Glenn thank you so much for being there for Me in my thick and thin days, I am thanking God for His blessings by giving Me You, you're such a wonderful friend that i couldn't ask for more, I do Lovesh you mdudu wangu...!!😍😍
 
Oooh mdudu wangu.
Hebu rudia kwa kisukuma basi hawa waelewe?
@pallaiah
ERoni
 
Oooh mdudu wangu.
Hebu rudia kwa kisukuma basi hawa waelewe?
Pellaiah
ERoni
 
Jason Statham2 Mungu akubariki kwa moyo wako mzuri 2023 ufanikiwe zaidi na zaidi

I love u [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Waooo thanks my [emoji173] see you on Xmas night... you know the place and dressing code. The file X and plan b MUST be activated on that night.

I don’t really need anything as long I will be with you to make this Christmass beautiful for two of us...
 
Waooow[emoji3590][emoji3590][emoji126][emoji126]
 
thank you mkuu
nakutakia sikukuu njema pia
ubarikiwe
 
Nashukuru kwa kunikumbuka. Una account ya Bank ambayo naweza tuma pesa nikiwa huku Argentina? Angalau tu Usd kadhaa ukaenjoy nawe sikukuu.
We falla huwa unanifurahisha sana🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…