Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Enhe niambie ๐๐Lets talk miss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enhe niambie ๐๐Lets talk miss
Anapambana awe ke, ili atunzwe na kupewa zawadi kemkemMpwayungu Village yupo wapi hapo
Ndege wafananao huruka pamoja๐๐ kwanini tusiwambie hadhara hii, tunajambo letu, tupeleke mambo mbiombio kabla mwaka haujaishaEnhe niambie ๐๐
Wacha weee ๐๐..anzisha siledi basi ๐๐ค๐คNdege wafananao huruka pamoja๐๐ kwanini tusiwambie hadhara hii, tunajambo letu, tupeleke mambo mbiombio kabla mwaka haujaisha
Ila haitakuwa na mrejesho mbaya, starring hafi huwa๐Wacha weee ๐๐..anzisha siledi basi ๐๐ค๐ค
Sawasawa ๐๐คIla haitakuwa na mrejesho mbaya, starring hafi huwa๐
Unique Flower akija tutambulishane ๐๐๐Sawasawa ๐๐ค
Usijali niko hapaUnique Flower akija tutambulishane ๐๐๐
Oooh asante Malaika wa Misukosuko tubarikiwe sote. Na asante kwa kushukuru, tuko pamoja.Nitumie Fursa hii Kuwashukuru Bantu Lady na Mideko kwenye Lile Jukwaa letu pendwa la Warembo special World wide, Mungu awabariki Sana Chochote mnachopunguza Ili Sis tuone zile picha mungu Awaongezee Haya wote tuseme Amen, Katibu Leta Kikapu cha Sadaka.
Asante sana ๐๐๐ tubarikiwe sote...Nitumie Fursa hii Kuwashukuru Bantu Lady na Mideko kwenye Lile Jukwaa letu pendwa la Warembo special World wide, Mungu awabariki Sana Chochote mnachopunguza Ili Sis tuone zile picha mungu Awaongezee Haya wote tuseme Amen, Katibu Leta Kikapu cha Sadaka.
Kumbe we ni msaliti๐๐Usijali niko hapa
Nimemsaliti nani tena jamani ๐๐Kumbe we ni msaliti๐๐
Badala ya kuniuliza jf, SI uje kwangu๐คVipi lakini bestie unaendeleaje
Ina Uma Sana mamaeee yala Ina Uma๐๐ค.Nimemsaliti nani tena jamani ๐๐
Pole sana aisee ๐๐Ina Uma Sana mamaeee yala Ina Uma๐๐ค.
๐Najikaza tu na kisabuni
NimekujaUnique Flower akija tutambulishane ๐๐๐