Mwaka unakaribia kuisha unamwambia nani nini?

Nimekuja chumbani, unaweza niambia nini kilifanya usiamini uwepo wa Mungu
Chumbani mi nataka kuzima taa tuongee kwa sauti za chini, wewe unaleta habari hizi tena?

Ndiyo tunanza habari za kuleta vitabu vya falsafa kitandani tena?

Hayaa.

Habari ya kuwepo Mungu, hususan mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ukiilinganisha na ulimwengu huu unaoweza kuwa na mabaya mengi, ina contradiction.

Naomba upitie hii Epicurean Paradox, halafu upitie Part IV page 276 ya "The Problem of Evil" katika hiki kitabu "Philosophy of Religion: An Anthology", nime attach PDF, halafu tuchambue.

 

Attachments

Hiki Nini?
 
Nataka nukuoe wewe.. na wewe unakazaaa ile mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…