Mwaka wa 2019 Watanzania bado wanatajwa kuwa ndani ya watu wenye dhiki, machungu na majungu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Poleni majirani zetu, ila mbadilike, haya maisha mnayoishi mkinunia kila kitu na kusahau tunapita tu, hatukuumbwa tudumu milele, hivyo kila dakika unayotumia ukilialia, kununa na kulea majungu unaipoteza na hutoipata tena.
-----------------------------

10 least happy countries are (with 1 being the least happy):

  1. South Sudan
  2. Central African Republic
  3. Afghanistan
  4. Tanzania
  5. Rwanda
  6. Yemen
  7. Malawi
  8. Syria
  9. Botswana
  10. Haiti
The United States placed 19th on the list of happiest countries—down one spot from last year. The world happiness report ranks 156 ranks countries based on a three-year average of surveys taken by Gallup. Factors survey participants are asked to consider include their country’s GDP, social support from friends and family, healthy life expectancy, freedom to make life choices, generosity, perceived corruption, and recent emotions, reports Bloomberg. Another factor in the rankings is the effect technology is having on people’s happiness. It found that teens who spent more time with digital devices were less happy.

The major bummer about this year’s list? When you factor in population growth, world happiness has fallen in recent years, the report’s authors found. “The world is a rapidly changing place. How communities interact with each other whether in schools, workplaces, neighborhoods, or on social media has profound effects on world happiness,” said professor John Helliwell, co-editor of the 2019 report.

Aisee, noma sana. Yaani Magufulistan na Afghanistan.....
4015942_image_jpeg9f360c5ab7736510df54c882e9dbf188
 
Juha wewe naona umefurahi mpaka umeacha kalio wazi kisa sisi kuwa miongoni mwa wasio na furaha
 
social support from friends and family - Tanzania we are ahead of many countries, tunachangiana Harusi za bajeti ya mamilioni, tunafanyiana mazishi ya gharama za mamilioni, tunapeana mbesii za gharama ya mamia; tunafanyiana "kitchen party" za kufa mtu. Huo utafiti labda walitafiti maeneo ya Masaki, Njiro na sehemu zinazofanana na hizo ambako kila familia inaishi ndani ya geti na hakuna mawasiliano na jirani.
 
Hivi wewe unaelewa maana ya furaha, yaani kwako unafikiri kumwaga mihela kwenye hafla ndio kiwango cha furaha, ila ukweli usiopingika nyie ni wanafiki sijawahi kuona, mna hulka ya kuongea kwa ustaarab na kuamkiana lakini kimya kimya mnabebeana majungu na kukwamishana, nimeshi na ninyi na kuwaona uhalsia wenu jinsi mlivyo.
Mgeni yeyote akitua Tanzania na kugeuza baada ya siku chache ataimba sana sifa zenu mlivyo wastaarab na mnaopendana na kuongeleshana kwa furaha, lakini akiishi na nyie mwaka au miaka miwili hapo atapata picha ya mlivyo.
Mna tabia ya kusifia mtu akiwemo lakini akiondoka tu, mnamsimanga na kumsema mambo ya ajabu. Na kuoneana wivu pale mmoja wenu anaonekana kutoka kimaisha.

Kitu nawapendea Wakenya wenzangu, huwa wanakuambia ukweli wa hali yako kama ilivyo, hufichwi, unaambiwa uteme umeze utajua wewe, inasaidia sana kujua ulivyo na wapi pa kurekebisha.
 
Nimeweka kipimo kimoja tuu - "social support from friends and family ". Nasisitiza kwa Tanzania, kwa kipimo hiki sisi ni namba moja duniani. Hata ukiingia baa za kwetu hatununui kinywaji kimoja kama wenzetu wa jirani bali tunaagiza "round" meza nzima hakuna kuruka mtu.
 
Kipindi cha uchaguzi wa Tanzania
 
Kwa hali hii njaa haiwezekani kuisha kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama wananchi wake ndio hawa sahau njaa kuisha kenya.
 
Poleni majirani zetu, ila mbadilike, haya maisha mnayoishi mkinunia kila kitu na kusahau tunapita tu, hatukuumbwa tudumu milele, hivyo kila dakika unayotumia ukilialia, kununa na kulea majungu unaipoteza na hutoipata tena.
-----------------------------

10 least happy countries are (with 1 being the least happy):

  1. South Sudan
  2. Central African Republic
  3. Afghanistan
  4. Tanzania
  5. Rwanda
  6. Yemen
  7. Malawi
  8. Syria
  9. Botswana
  10. Haiti
The United States placed 19th on the list of happiest countries—down one spot from last year. The world happiness report ranks 156 ranks countries based on a three-year average of surveys taken by Gallup. Factors survey participants are asked to consider include their country’s GDP, social support from friends and family, healthy life expectancy, freedom to make life choices, generosity, perceived corruption, and recent emotions, reports Bloomberg. Another factor in the rankings is the effect technology is having on people’s happiness. It found that teens who spent more time with digital devices were less happy.

The major bummer about this year’s list? When you factor in population growth, world happiness has fallen in recent years, the report’s authors found. “The world is a rapidly changing place. How communities interact with each other whether in schools, workplaces, neighborhoods, or on social media has profound effects on world happiness,” said professor John Helliwell, co-editor of the 2019 report.

Ngoja nikuambie sababu inayofanya watz tuwe kwenye hiyo list ni hii wakati nyinyi mnatembea kuekekea maendeleo sisi tunakimbia.
Siku zote ukitaka kufanya mabadiliko ya maana na kufikia mafanikio ya kweli lazima upitie machungu sana wewe jiulize wakati wa miaka ya 1990 Tanzania ilikuwa ya 3 kutoka mwisho kwa umasikini na jiji la dar lilikuwa limepitwa hata na Kampala sasa jiulize kuna jiji gani Africa ambalo linawashitua watu wa nchi zingine hasa za Africa kuliko tz sababu ya kubadilika Kwa kasi sana hadi watu hawaamini na kama siyo jamii forum hata nyinyi wakenya msingeweza kujua kuwa dar inakuja Kwa nguvu zote maana hata sasa tumewashitukiza tofauti na mlivyokuwa mnadhani kuna mkenya alikuja tz 2015 alishangaa kuona dar INA magari yeye alikuwa amebeba dhana potovu tena alishangaa ukubwa wa dar alikuwa anadhani ni mji Mdogo kama kigali
 
Juha wewe naona umefurahi mpaka umeacha kalio wazi kisa sisi kuwa miongoni mwa wasio na furaha
Sasa walitegemea watu tuliopo katika kufanya kazi za kufa na kupona tuwe na furaha tunajenga kwanza nchi furaha badae sasa ni
KAZI KAZI ....KAZI NA BATA BAADAE
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kwa hali hii njaa haiwezekani kuisha kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama wananchi wake ndio hawa sahau njaa kuisha kenya.
Wanataka kufurahi badala ya kupiga KAZI
Watz sisi tupige kazi kwanza furaha baadae mlimia juani ndiye ulia kivulini
 
Back
Top Bottom