Mwaka wa 2019 Watanzania bado wanatajwa kuwa ndani ya watu wenye dhiki, machungu na majungu

Huo ndio ukweli 10k unapata matunda mengi mno,
Mfano tanga pale unapata machungwa karibia 20 kwa tsh elfu moja tu,
Ukibisha waulize ndugu zako wa Mombasa wanaopita njia ya Tanga.
Kwahivyo unaishi Tanga? Au huwa unasafiri hadi Tanga kutafuta machungwa ya kujaza friji? Mbona ni kawaida sana kupata vitu vya bei rahisi sehemu yeyote ambayo hivo vitu vipo kwa wingi? Boss mtu anayejielewa huwa anajadili akitumia data, takwimu, na vitu kama hivyo. Sio unatapatapa tu kibaba yao. Sina la ziada.
 
Hapo nimekutolea mfano tu nashangaa unapayuka payuka,
Kingine niliinclude Tanzania nzima,
Hata uende soko la mazese Dar kwa 10k unapata matunda mengi mno ya kutosha tu ambayo hapo kenya itakukost pesa nyingi.
Kwahivyo unaishi Tanga? Au huwa unasafiri hadi Tanga kutafuta machungwa ya kujaza friji? Mbona ni kawaida sana kupata vitu vya bei rahisi sehemu yeyote ambayo hivo vitu vipo kwa wingi? Boss mtu anayejielewa huwa anajadili akitumia data, takwimu, na vitu kama hivyo. Sio unatapatapa tu kibaba yao. Sina la ziada.
 
😂😂😂😂 Mnywa Githeri 24/7 hawezi mpita mla kuku roast 24/7 kwa furaha tusidanganyane
View attachment 1216277
While milk production in Kenya stands at 5.5 billion litres annually, in Tanzania it stands at two billion litres and in Uganda 2.2 billion litres.
Tanzania has one of the lowest per capita milk consumption rates at 47 litres per annum compared with 120 litres per annum in Kenya and 54 litres in Uganda.
 
You should say *industrial milk* not organic, because when you talk organic milk and consumption, you cannot beat the second biggest country with cattle in the continent in consuming milk, Tanzanians being consuming unregistered milk is not a matter of reaching out a conclusion that we're not consuming.
 
Poleni majirani zetu, ila mbadilike, haya maisha mnayoishi mkinunia kila kitu na kusahau tunapita tu, hatukuumbwa tudumu milele, hivyo kila dakika unayotumia ukilialia, kununa na kulea majungu unaipoteza na hutoipata tena.
-----------------------------

10 least happy countries are (with 1 being the least happy):

  1. South Sudan
  2. Central African Republic
  3. Afghanistan
  4. Tanzania
  5. Rwanda
  6. Yemen
  7. Malawi
  8. Syria
  9. Botswana
  10. Haiti
The United States placed 19th on the list of happiest countries—down one spot from last year. The world happiness report ranks 156 ranks countries based on a three-year average of surveys taken by Gallup. Factors survey participants are asked to consider include their country’s GDP, social support from friends and family, healthy life expectancy, freedom to make life choices, generosity, perceived corruption, and recent emotions, reports Bloomberg. Another factor in the rankings is the effect technology is having on people’s happiness. It found that teens who spent more time with digital devices were less happy.

The major bummer about this year’s list? When you factor in population growth, world happiness has fallen in recent years, the report’s authors found. “The world is a rapidly changing place. How communities interact with each other whether in schools, workplaces, neighborhoods, or on social media has profound effects on world happiness,” said professor John Helliwell, co-editor of the 2019 report.

Eti Botswana, Tanzania, Malawi zinakaa list moja na Afghanistan, south Sudan, Syria etc. Duuu kweli wajinga ndiyo waliwao.
🤣🤣🤣
 
While milk production in Kenya stands at 5.5 billion litres annually, in Tanzania it stands at two billion litres and in Uganda 2.2 billion litres.
Tanzania has one of the lowest per capita milk consumption rates at 47 litres per annum compared with 120 litres per annum in Kenya and 54 litres in Uganda.
120 litres p.a in Kenya na Tz 47 litres only p.a. Alafu nikiwaambia kwamba maziwa huwa wanakunywa tu kibahati mbaya kama tiba ya kunywa sumu huwa wanaona kama nawatusi. 😀
 
Acha ushamba tembea wewe jaribu at kuchanga kibakuri maana sidhani Kama hata nauli ya kuja bongo unayo
 
You should say *industrial milk* not organic, because when you talk organic milk and consumption, you cannot beat the second biggest country with cattle in the continent in consuming milk, Tanzanians being consuming unregistered milk is not a matter of reaching out a conclusion that we're not consuming.
Hapo umeona kuna Production vs Consumption..... Production ni maziwa yote yawe raw au processed! hapo tuna produc mara mbili zaidi yenu.... labda hapo pa consumption sasa ndo unaeza ukajitetea na mambo ya "industrial milk'
 
Acha ushamba tembea wewe jaribu at kuchanga kibakuri maana sidhani Kama hata nauli ya kuja bongo unayo
Nimetembea boss na sio bongo tu. Ulivoandika 'kibakuri' nimejua tu kwamba hujatia mguu wako nje ya kwenu huko usukumani, kanda ya ziwa. Hata bila takwimu nakuambia wazi kwamba watz hamnywi maziwa kama wakenya.
 
Hapo umeona kuna Production vs Consumption..... Production ni maziwa yote yawe raw au processed! hapo tuna produc mara mbili zaidi yenu.... labda hapo pa consumption sasa ndo unaeza ukajitetea na mambo ya "industrial milk'
Among your so called 5.2 billion litres, 3.8 billion litres is industrial milk, buy it or leave it
 
Hivi kwa mfano nina ngombe wangu nyumbani nawakamua napiga maziwa yangu freshi, nitakuwa included kwenye hizo statistic?
Asking for a friend [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimetembea boss na sio bongo tu. Ulivoandika 'kibakuri' nimejua tu kwamba hujatia mguu wako nje ya kwenu huko usukumani, kanda ya ziwa. Hata bila takwimu nakuambia wazi kwamba watz hamnywi maziwa kama wakenya.
 
Eti Botswana, Tanzania, Malawi zinakaa list moja na Afghanistan, south Sudan, Syria etc. Duuu kweli wajinga ndiyo waliwao.
🤣🤣🤣

The world is a rapidly changing place!
Nafurahi hii imerejesha kile kicheko chako, maana ulikua umekazwa vinoma.
 
Among your so called 5.2 billion litres, 3.8 billion litres is industrial milk, buy it or leave it
So what??? The issue is that that 5.2B is all our milk production? VS 2 Billion of all your milk Production, Hata uniambie kwamba 90% ya watanzania wanakunywa maziwa waliokamua wenyewe, It will only be 2B litters maximum!

And BTW wakulima wadogo wadogo ambao hutumia organic farming ndo huchangia pakubwa kwa sector ya maziwa kenya

-------------------------
Dairy cattle in Kenya consist of exotic breeds, crosses between exotic and local breeds and local breeds. Although smallholder Dairy farmers make up to 80% of total dairy producers and produce 56% of total milk in Kenya,
----------------------------

Angalia hii video uelewe ni wapi kina brookside na KCC hutoa maziwa yao ,

Tofauti ya Kenya na Tanzania ni kwamba Tz wako na ng'ombe nyingi lakini hutoa maziwa machache, lakini Kenya tuko na ng'ombe chache lakini tumefanya cross breeding kwahivyo ngombe zetu zinazalisha maziwa mengi sana, utapata kijiji watu wanaishi kwa nyumba ya matope, lakini ukiangalia ng'ombe ya maziwa haina tofauti na zile ng'ombe utapata kule ulaya, ng'ombe inamwaga kama lita 50 kwa siku, ukikosa kuikamua inakufa manake waziwa yatatoka kaa mfereji.
 
Hivi wewe unaelewa maana ya furaha, yaani kwako unafikiri kumwaga mihela kwenye hafla ndio kiwango cha furaha, ila ukweli usiopingika nyie ni wanafiki sijawahi kuona, mna hulka ya kuongea kwa ustaarab na kuamkiana lakini kimya kimya mnabebeana majungu na kukwamishana, nimeshi na ninyi na kuwaona uhalsia wenu jinsi mlivyo.
Mgeni yeyote akitua Tanzania na kugeuza baada ya siku chache ataimba sana sifa zenu mlivyo wastaarab na mnaopendana na kuongeleshana kwa furaha, lakini akiishi na nyie mwaka au miaka miwili hapo atapata picha ya mlivyo.
Mna tabia ya kusifia mtu akiwemo lakini akiondoka tu, mnamsimanga na kumsema mambo ya ajabu. Na kuoneana wivu pale mmoja wenu anaonekana kutoka kimaisha.

Kitu nawapendea Wakenya wenzangu, huwa wanakuambia ukweli wa hali yako kama ilivyo, hufichwi, unaambiwa uteme umeze utajua wewe, inasaidia sana kujua ulivyo na wapi pa kurekebisha.
Nyapara mkuu wa nchi ndiyo kinara wa kutokukubaliana na ukweli na matokea yake amezungukwa na wanafiki na anafurahia kusifiwa hata pale anapokosea, hypocrisy is a norm in Tz.
Ni ukweli mchungu,acha tupambane na hali zetu.
 
achana na hao,,Ni wa kukunia na kukula makunio
 
So what??? The issue is that that 5.2B is all our milk production? VS 2 Billion of all your milk Production, Hata uniambie kwamba 90% ya watanzania wanakunywa maziwa waliokamua wenyewe, It will only be 2B litters maximum!

And BTW wakulima wadogo wadogo ambao hutumia organic farming ndo huchangia pakubwa kwa sector ya maziwa kenya

-------------------------
Dairy cattle in Kenya consist of exotic breeds, crosses between exotic and local breeds and local breeds. Although smallholder Dairy farmers make up to 80% of total dairy producers and produce 56% of total milk in Kenya,
----------------------------

Angalia hii video uelewe ni wapi kina brookside na KCC hutoa maziwa yao ,

Tofauti ya Kenya na Tanzania ni kwamba Tz wako na ng'ombe nyingi lakini hutoa maziwa machache, lakini Kenya tuko na ng'ombe chache lakini tumefanya cross breeding kwahivyo ngombe zetu zinazalisha maziwa mengi sana, utapata kijiji watu wanaishi kwa nyumba ya matope, lakini ukiangalia ng'ombe ya maziwa haina tofauti na zile ng'ombe utapata kule ulaya, ng'ombe inamwaga kama lita 50 kwa siku, ukikosa kuikamua inakufa manake waziwa yatatoka kaa mfereji.

Leta evidence tafadhali. Alafu WTF is 'industrial milk'? Is it milked from machines or something?
Hii ndio huwa diluted na maji kisha inamiminiwa kwenye makopo halafu mnatoa pesa mnasema nipe *maziwa* 😂😂😂😂
Ndio maana kensa zinawamaliza

EEpulfPXoAEQM_p.jpeg
 
Back
Top Bottom