danja de genzo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 542
- 803
Kama zaidi ya 50 ya maziwa tz ayauzwi unadhani yanaenda wapi au tunalisha mifugo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimemuuliza hapa hajanijibu [emoji23][emoji23][emoji23]Kama zaidi ya 50 ya maziwa tz ayauzwi unadhani yanaenda wapi au tunalisha mifugo
Hivi kwa mfano nina ngombe wangu nyumbani nawakamua napiga maziwa yangu freshi, nitakuwa included kwenye hizo statistic?
Asking for a friend [emoji23][emoji23][emoji23]
Amigo zile takwimu za kwamba uchumi wetu unakuwa kwa speed 4G huwa zinatolewa na nani ?[emoji15][emoji15][emoji15]
Huu mwandiko mbona ni wa kitanzania?![emoji848]Hivi wewe unaelewa maana ya furaha, yaani kwako unafikiri kumwaga mihela kwenye hafla ndio kiwango cha furaha, ila ukweli usiopingika nyie ni wanafiki sijawahi kuona, mna hulka ya kuongea kwa ustaarab na kuamkiana lakini kimya kimya mnabebeana majungu na kukwamishana, nimeshi na ninyi na kuwaona uhalsia wenu jinsi mlivyo.
Mgeni yeyote akitua Tanzania na kugeuza baada ya siku chache ataimba sana sifa zenu mlivyo wastaarab na mnaopendana na kuongeleshana kwa furaha, lakini akiishi na nyie mwaka au miaka miwili hapo atapata picha ya mlivyo.
Mna tabia ya kusifia mtu akiwemo lakini akiondoka tu, mnamsimanga na kumsema mambo ya ajabu. Na kuoneana wivu pale mmoja wenu anaonekana kutoka kimaisha.
Kitu nawapendea Wakenya wenzangu, huwa wanakuambia ukweli wa hali yako kama ilivyo, hufichwi, unaambiwa uteme umeze utajua wewe, inasaidia sana kujua ulivyo na wapi pa kurekebisha.
Sasa hizo ng'ombe zinazotoa litre 50 kwa siku kwanini zisimsaidie ajenge nyumba ya matofali! Au akisha kamua maziwa anayaogea!So what??? The issue is that that 5.2B is all our milk production? VS 2 Billion of all your milk Production, Hata uniambie kwamba 90% ya watanzania wanakunywa maziwa waliokamua wenyewe, It will only be 2B litters maximum!
And BTW wakulima wadogo wadogo ambao hutumia organic farming ndo huchangia pakubwa kwa sector ya maziwa kenya
-------------------------
Dairy cattle in Kenya consist of exotic breeds, crosses between exotic and local breeds and local breeds. Although smallholder Dairy farmers make up to 80% of total dairy producers and produce 56% of total milk in Kenya,
----------------------------Smallholder dairy production in Kenya; a review
www.lrrd.org
Angalia hii video uelewe ni wapi kina brookside na KCC hutoa maziwa yao ,
Tofauti ya Kenya na Tanzania ni kwamba Tz wako na ng'ombe nyingi lakini hutoa maziwa machache, lakini Kenya tuko na ng'ombe chache lakini tumefanya cross breeding kwahivyo ngombe zetu zinazalisha maziwa mengi sana, utapata kijiji watu wanaishi kwa nyumba ya matope, lakini ukiangalia ng'ombe ya maziwa haina tofauti na zile ng'ombe utapata kule ulaya, ng'ombe inamwaga kama lita 50 kwa siku, ukikosa kuikamua inakufa manake waziwa yatatoka kaa mfereji.
Ni kweli kabisa kwani huyu jangili sura mbaya Re Dimmer ni mojawapo wa WaTzd wenye machungu ,roho mbaya,unafik ,umbeya ,chuki kila siku. Hakuna siku inapita hivi bila kuipaka Kenya matope na kinyesi kibaya cha Tanzania.😂😂😂😂 Mnywa Githeri 24/7 hawezi mpita mla kuku roast 24/7 kwa furaha tusidanganyane
View attachment 1216277
Ni kweli kabisa kwani huyu jangili sura mbaya Re Dimmer ni mojawapo wa WaTzd wenye machungu ,roho mbaya,unafik ,umbeya ,chuki kila siku. Hakuna siku inapita hivi bila kuipaka Kenya matope na kinyesi kibaya cha Tanzania.
I've always wondered why Tanzanians like Giza Ulale , Joto la Jizi ,Re Dimmer ,Lwiva,Babazao255 ,Moto wa Jini na wengine kila siku wanamachungu na chuki sana na Kenya.Aisee, noma sana. Yaani Magufulistan na Afghanistan.....![]()
Kwa sababu waKenya sio roho mbaya nawajua vizuri sana they just do it to defend their dear motherland Kenya.Jiulize mbona waKenya hawana haya mambo dhidi ya Ethiopia ,Uganda ,South Sudan etc? Kwanini ni nyie Tanzania tu?Mbona huwa huwaoni ndugu zako wenye chuki, unafiki, umbeya, roho mbaya kuhusu nchi ya asali na maziwa Tanzania?
Au ndio nyani haoni kundule [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sababu waKenya sio roho mbaya nawajua vizuri sana they just do it to defend their dear motherland Kenya.Jiulize mbona waKenya hawana haya mambo dhidi ya Ethiopia ,Uganda ,South Sudan etc? Kwanini ni nyie Tanzania tu?
I've always wondered why Tanzanians like Giza Ulale , Joto la Jizi ,Re Dimmer ,Lwiva,Babazao255 ,Moto wa Jini na wengine kila siku wanamachungu na chuki sana na Kenya.
With this report now i see why ....bcoz its clear such darkness is inherent in Tanzanians.
Sasa wakenya mnanjaa hivyoo ukiona matunda kwenye friji siutakufa Kwa kutoka udenda tena ukute kaweka chapo 4 ndaniyake itakuwaje siutaitafuna hadi hiyi simuKama huwezi kuthibitisha madai yako acha basi kutafuta kiki za peni mbili na kubeba watu kimalenge malenge.
Kwahivyo unaishi Tanga? Au huwa unasafiri hadi Tanga kutafuta machungwa ya kujaza friji? Mbona ni kawaida sana kupata vitu vya bei rahisi sehemu yeyote ambayo hivo vitu vipo kwa wingi? Boss mtu anayejielewa huwa anajadili akitumia data, takwimu, na vitu kama hivyo. Sio unatapatapa tu kibaba yao. Sina la ziada.
Kumbe na wewe ni ndina kiasi hichiHio ni uongo. Elfu kumi ya TZ ambayo ni mia tano ya KE. Haiwezi jaza fridge
Lol.. Nikiwa mtoto nilisikia watu wakisema huwa mnabeba pesa kwa magunia mkienda dukani. Kuna wakenya wanaamini hivyo hadi sasaBei ya chungwa dar rejareja mitaani Tsh 100 = Ksh 5
Avocado parachichi tsh500 = ksh25 kama unanunua sokoni bei ni chini ya hapo
Akishachanga hela ananunua ngombe zaidi au kupeleka watoto University.... Utakuta jamaa amefikisha ngombe zaidi ya 50, ikiwa ngombe moja bei yake ni +170,000... lakini bado anaishi kwa nyumba ya matope akitumia solar...Sasa hizo ng'ombe zinazotoa litre 50 kwa siku kwanini zisimsaidie ajenge nyumba ya matofali! Au akisha kamua maziwa anayaogea!