Mwaka wa 2019 Watanzania bado wanatajwa kuwa ndani ya watu wenye dhiki, machungu na majungu

Kenya ni moja ya nchi ambayo wananchi wake wameichoka wanakimbia nchi yao [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanataka kufurahi badala ya kupiga KAZI
Watz sisi tupige kazi kwanza furaha baadae mlimia juani ndiye ulia kivulini
 
social support from friends and family - Tanzania we are ahead of many countries, tunachangiana Harusi za bajeti ya mamilioni, tunafanyiana mazishi ya gharama za mamilioni, tunapeana mbesii za gharama ya mamia; tunafanyiana "kitchen party" za kufa mtu. Huo utafiti labda walitafiti maeneo ya Masaki, Njiro na sehemu zinazofanana na hizo ambako kila familia inaishi ndani ya geti na hakuna mawasiliano na jirani.
Wewe hututishi na hayo mamilioni yasiyo na thamani. Hivi wewe unafahamu kuwa milioni moja ya TZ ni elfu hamsini ya Kenya?
 
Elfu kumi ya Tanzania nikienda sokoni nanunua matunda na viungo vingine fridge yangu inajaa full kabisa,
Vipi kuhusu mia tano ya kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Usisahau pia pesa ya kenya 30 percent ni feki IMF report.
Wewe hututishi na hayo mamilioni yasiyo na thamani. Hivi wewe unafahamu kuwa elfu moja ya TZ ni elfu hamsini ya Kenya?
 
Elfu kumi ya Tanzania nikienda sokoni nanunua matunda na viungo vingine fridge yangu inajaa full kabisa,
Vipi kuhusu mia tano ya kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Usisahau pia pesa ya kenya 30 percent ni feki IMF report.
Hio ni uongo. Elfu kumi ya TZ ambayo ni mia tano ya KE. Haiwezi jaza fridge
 
Sasa niseme uongo nifaidike nini kwa mfano?
Siku ukitembelea Tanzania nenda sokoni uone namaanisha nini,
Mkiambiwa Tanzania ni nchi ya maziwa na asali mkubali,
Mfano mwingine pale Tanga ukinunua machungwa ya Tsh elfu moja tu unapata mfuko wenye machungwa karibia 20 [emoji23][emoji23][emoji23]
Hio ni uongo. Elfu kumi ya TZ ambayo ni mia tano ya KE. Haiwezi jaza fridge
 
Wewe hututishi na hayo mamilioni yasiyo na thamani. Hivi wewe unafahamu kuwa milioni moja ya TZ ni elfu hamsini ya Kenya?
Sisi tunayo furaha; kuwa na chakula ni furaha tosha
 
Hio ni uongo. Elfu kumi ya TZ ambayo ni mia tano ya KE. Haiwezi jaza fridge
Jamaa anajaza kamini fridge kake na mihogo, siunawajua tu hawa jirani zetu na ile daily menu yao ya mihogo na 'strungi'. Ndio maana wanaongoza ukanda huu kwa utapiamlo.
 
Huwa mkiona kitu haiwezekani kufanyika failed state kenya basi huwa mnaona kila mahali hakiwezekani.
Jamaa anajaza kamini fridge kake na mihogo, siunawajua tu hawa jirani zetu na ile daily menu yao ya mihogo na 'strungi'. Ndio maana wanaongoza ukanda huu kwa utapiamlo.
 
social support from friends and family - Tanzania we are ahead of many countries, tunachangiana Harusi za bajeti ya mamilioni, tunafanyiana mazishi ya gharama za mamilioni, tunapeana mbesii za gharama ya mamia; tunafanyiana "kitchen party" za kufa mtu. Huo utafiti labda walitafiti maeneo ya Masaki, Njiro na sehemu zinazofanana na hizo ambako kila familia inaishi ndani ya geti na hakuna mawasiliano na jirani.
Mtz katika ubora wake, kuchanga kwenye mazishi, harusi na sijui 'kitchen party' ni vitu vya kawaida sana hata Kenya. Ila kuchangia wananchi wenzetu kwasababu ya karo ya shule, kupeleka wanafunzi chuo kikuu hadi nje ya nchi, kusettle bill za hospitali na kujenga mashule mashinani ndio mpango wote Kenya. Ama hujui nguzo ya nchi yetu, 'Harambee' inamaanisha nini?
 
Niandikapo vijana ninaowalipia ada ni wengi kuliko watoto wangu; ukiona vijana wamejazana vyuoni siyo kwa sababu baba au mama zao wana uwezo ni kwa sababu ya upendo toka kwa jamaa zao yaani baba wadogo, shangazi, wajomba, kaka, dada. Huo utafiti unaosema hatusaidiani ni wa uongo kabisa
 
Tangu lini mkenya mkawa na umoja [emoji23][emoji23][emoji23]
Huku kwetu wananchi wanchanga pesa wenyewe kwa wenyewe wanajenga mashule, wanajenga mahospitali, wanatengeneza barabara, yaani huku ni kawaida sana.
Na vitu vingi tu.
Mtz katika ubora wake, kuchanga kwenye mazishi, harusi na sijui 'kitchen party' ni vitu vya kawaida sana hata Kenya. Ila kuchangia wananchi wenzetu kwasababu ya karo ya shule, kupeleka wanafunzi chuo kikuu hadi nje ya nchi, kusettle bill za hospitali na kujenga mashule mashinani ndio mpango wote Kenya. Ama hujui nguzo ya nchi yetu, 'Harambee' inamaanisha nini?
 
Huwa mkiona kitu haiwezekani kufanyika failed state kenya basi huwa mnaona kila mahali hakiwezekani.
Hebu tupia picha ya hiyo fridge yako ikiwa imejaa hadi pomoni na vitu vya tzshs 10,000(KES 450). [emoji38]
 
Tangu lini mkenya mkawa na umoja [emoji23][emoji23][emoji23]
Huku kwetu wananchi wanchanga pesa wenyewe kwa wenyewe wanajenga mashule, wanajenga mahospitali, wanatengeneza barabara, yaani huku ni kawaida sana.
Na vitu vingi tu.
Hiyo ndio inaitwa Harambee huku Kenya. Imekuwa hivyo tangu tulipopata uhuru, ndio maana kauli hiyo ipo hadi kwenye 'coat of arms' ya Kenya. Najua hamtanielewa kwasababu mna majungu kama wa'afghani' wa kule Kabul.
Niandikapo vijana ninaowalipia ada ni wengi kuliko watoto wangu; ukiona vijana wamejazana vyuoni siyo kwa sababu baba au mama zao wana uwezo ni kwa sababu ya upendo toka kwa jamaa zao yaani baba wadogo, shangazi, wajomba, kaka, dada. Huo utafiti unaosema hatusaidiani ni wa uongo kabisa
 
Hivo ni vitu ambavyo vinafanya tu sana huku,
Ila kwa sababu mko brainwashed sana hamuwezi mkaelewa,
Yaaani huku hayo mambo yanafanyika mno toka enzi za ujamaa na bado yanaendelea kufanyika kutokana na umoja tulio nao.
Hiyo ndio inaitwa Harambee huku Kenya. Imekuwa hivyo tangu tulipopata uhuru, ndio maana kauli hiyo ipo hadi kwenye 'coat of arms' ya Kenya. Najua hamtanielewa kwasababu mna majungu kama wa'afghani' wa kule Kabul.
 
Huo ndio ukweli 10k unapata matunda mengi mno,
Mfano tanga pale unapata machungwa karibia 20 kwa tsh elfu moja tu,
Ukibisha waulize ndugu zako wa Mombasa wanaopita njia ya Tanga.
Kama huwezi kuthibitisha madai yako acha basi kutafuta kiki za peni mbili na kubeba watu kimalenge malenge.
 
Hivo ni vitu ambavyo vinafanya tu sana huku,
Ila kwa sababu mko brainwashed sana hamuwezi mkaelewa,
Yaaani huku hayo mambo yanafanyika mno toka enzi za ujamaa na bado yanaendelea kufanyika kutokana na umoja tulio nao.
Hakuna aliyebisha kwamba havifanyiki. Ukisoma taarifa(najua hujaisoma) utaona ni vigezo vipi vimetumika, na kwamba ni vigezo zaidi ya moja.
 
Back
Top Bottom