babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Wanataka kufurahi badala ya kupiga KAZI
Watz sisi tupige kazi kwanza furaha baadae mlimia juani ndiye ulia kivulini
Umesahau vijembe au masengenyo ndio lugha yenu ya taifa?Ni ukweli usiopingika! Majungu, umasikini, umbeya, uzandiki, unafiki, uchawi, roho mbaya, kununa,
Wewe hututishi na hayo mamilioni yasiyo na thamani. Hivi wewe unafahamu kuwa milioni moja ya TZ ni elfu hamsini ya Kenya?social support from friends and family - Tanzania we are ahead of many countries, tunachangiana Harusi za bajeti ya mamilioni, tunafanyiana mazishi ya gharama za mamilioni, tunapeana mbesii za gharama ya mamia; tunafanyiana "kitchen party" za kufa mtu. Huo utafiti labda walitafiti maeneo ya Masaki, Njiro na sehemu zinazofanana na hizo ambako kila familia inaishi ndani ya geti na hakuna mawasiliano na jirani.
Wewe hututishi na hayo mamilioni yasiyo na thamani. Hivi wewe unafahamu kuwa elfu moja ya TZ ni elfu hamsini ya Kenya?
Hio ni uongo. Elfu kumi ya TZ ambayo ni mia tano ya KE. Haiwezi jaza fridgeElfu kumi ya Tanzania nikienda sokoni nanunua matunda na viungo vingine fridge yangu inajaa full kabisa,
Vipi kuhusu mia tano ya kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Usisahau pia pesa ya kenya 30 percent ni feki IMF report.
Mada zingine hazina kichwa wala Miguu
Hio ni uongo. Elfu kumi ya TZ ambayo ni mia tano ya KE. Haiwezi jaza fridge
Sisi tunayo furaha; kuwa na chakula ni furaha toshaWewe hututishi na hayo mamilioni yasiyo na thamani. Hivi wewe unafahamu kuwa milioni moja ya TZ ni elfu hamsini ya Kenya?
Jamaa anajaza kamini fridge kake na mihogo, siunawajua tu hawa jirani zetu na ile daily menu yao ya mihogo na 'strungi'. Ndio maana wanaongoza ukanda huu kwa utapiamlo.Hio ni uongo. Elfu kumi ya TZ ambayo ni mia tano ya KE. Haiwezi jaza fridge
Jamaa anajaza kamini fridge kake na mihogo, siunawajua tu hawa jirani zetu na ile daily menu yao ya mihogo na 'strungi'. Ndio maana wanaongoza ukanda huu kwa utapiamlo.
Mtz katika ubora wake, kuchanga kwenye mazishi, harusi na sijui 'kitchen party' ni vitu vya kawaida sana hata Kenya. Ila kuchangia wananchi wenzetu kwasababu ya karo ya shule, kupeleka wanafunzi chuo kikuu hadi nje ya nchi, kusettle bill za hospitali na kujenga mashule mashinani ndio mpango wote Kenya. Ama hujui nguzo ya nchi yetu, 'Harambee' inamaanisha nini?social support from friends and family - Tanzania we are ahead of many countries, tunachangiana Harusi za bajeti ya mamilioni, tunafanyiana mazishi ya gharama za mamilioni, tunapeana mbesii za gharama ya mamia; tunafanyiana "kitchen party" za kufa mtu. Huo utafiti labda walitafiti maeneo ya Masaki, Njiro na sehemu zinazofanana na hizo ambako kila familia inaishi ndani ya geti na hakuna mawasiliano na jirani.
Niandikapo vijana ninaowalipia ada ni wengi kuliko watoto wangu; ukiona vijana wamejazana vyuoni siyo kwa sababu baba au mama zao wana uwezo ni kwa sababu ya upendo toka kwa jamaa zao yaani baba wadogo, shangazi, wajomba, kaka, dada. Huo utafiti unaosema hatusaidiani ni wa uongo kabisaMtz katika ubora wake, kuchanga kwenye mazishi, harusi na sijui 'kitchen party' ni vitu vya kawaida sana hata Kenya. Ila kuchangia wananchi wenzetu kwasababu ya karo ya shule, kupeleka wanafunzi chuo kikuu hadi nje ya nchi, kusettle bill za hospitali na kujenga mashule mashinani ndio mpango wote Kenya. Ama hujui nguzo ya nchi yetu, 'Harambee' inamaanisha nini?
Mtz katika ubora wake, kuchanga kwenye mazishi, harusi na sijui 'kitchen party' ni vitu vya kawaida sana hata Kenya. Ila kuchangia wananchi wenzetu kwasababu ya karo ya shule, kupeleka wanafunzi chuo kikuu hadi nje ya nchi, kusettle bill za hospitali na kujenga mashule mashinani ndio mpango wote Kenya. Ama hujui nguzo ya nchi yetu, 'Harambee' inamaanisha nini?
Hebu tupia picha ya hiyo fridge yako ikiwa imejaa hadi pomoni na vitu vya tzshs 10,000(KES 450). [emoji38]Huwa mkiona kitu haiwezekani kufanyika failed state kenya basi huwa mnaona kila mahali hakiwezekani.
Hebu tupia picha ya hiyo fridge yako ikiwa imejaa hadi pomoni na vitu vya tzshs 10,000(KES 450). [emoji38]
Hiyo ndio inaitwa Harambee huku Kenya. Imekuwa hivyo tangu tulipopata uhuru, ndio maana kauli hiyo ipo hadi kwenye 'coat of arms' ya Kenya. Najua hamtanielewa kwasababu mna majungu kama wa'afghani' wa kule Kabul.Tangu lini mkenya mkawa na umoja [emoji23][emoji23][emoji23]
Huku kwetu wananchi wanchanga pesa wenyewe kwa wenyewe wanajenga mashule, wanajenga mahospitali, wanatengeneza barabara, yaani huku ni kawaida sana.
Na vitu vingi tu.
Niandikapo vijana ninaowalipia ada ni wengi kuliko watoto wangu; ukiona vijana wamejazana vyuoni siyo kwa sababu baba au mama zao wana uwezo ni kwa sababu ya upendo toka kwa jamaa zao yaani baba wadogo, shangazi, wajomba, kaka, dada. Huo utafiti unaosema hatusaidiani ni wa uongo kabisa
Kama huwezi kuthibitisha madai yako acha basi kutafuta kiki za peni mbili na kubeba watu kimalenge malenge.Sio lazima uamini hata, baki ukiendelea kuamini katika ukabila,
Ila ukweli ndio huo.
Hiyo ndio inaitwa Harambee huku Kenya. Imekuwa hivyo tangu tulipopata uhuru, ndio maana kauli hiyo ipo hadi kwenye 'coat of arms' ya Kenya. Najua hamtanielewa kwasababu mna majungu kama wa'afghani' wa kule Kabul.
Kama huwezi kuthibitisha madai yako acha basi kutafuta kiki za peni mbili na kubeba watu kimalenge malenge.
Hakuna aliyebisha kwamba havifanyiki. Ukisoma taarifa(najua hujaisoma) utaona ni vigezo vipi vimetumika, na kwamba ni vigezo zaidi ya moja.Hivo ni vitu ambavyo vinafanya tu sana huku,
Ila kwa sababu mko brainwashed sana hamuwezi mkaelewa,
Yaaani huku hayo mambo yanafanyika mno toka enzi za ujamaa na bado yanaendelea kufanyika kutokana na umoja tulio nao.