Mwaka wa 2019 Watanzania bado wanatajwa kuwa ndani ya watu wenye dhiki, machungu na majungu

[emoji15][emoji15][emoji15]
Amigo zile takwimu za kwamba uchumi wetu unakuwa kwa speed 4G huwa zinatolewa na nani ?
Au bwana Abasi huwa anazifanyia mapishi kwa viungo alivyopewa na Pogba ?
 
Huu mwandiko mbona ni wa kitanzania?![emoji848]
 
Sasa hizo ng'ombe zinazotoa litre 50 kwa siku kwanini zisimsaidie ajenge nyumba ya matofali! Au akisha kamua maziwa anayaogea!
 
😂😂😂😂 Mnywa Githeri 24/7 hawezi mpita mla kuku roast 24/7 kwa furaha tusidanganyane
View attachment 1216277
Ni kweli kabisa kwani huyu jangili sura mbaya Re Dimmer ni mojawapo wa WaTzd wenye machungu ,roho mbaya,unafik ,umbeya ,chuki kila siku. Hakuna siku inapita hivi bila kuipaka Kenya matope na kinyesi kibaya cha Tanzania.
 
Mbona huwa huwaoni ndugu zako wenye chuki, unafiki, umbeya, roho mbaya kuhusu nchi ya asali na maziwa Tanzania?
Au ndio nyani haoni kundule [emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee, noma sana. Yaani Magufulistan na Afghanistan.....
I've always wondered why Tanzanians like Giza Ulale , Joto la Jizi ,Re Dimmer ,Lwiva,Babazao255 ,Moto wa Jini na wengine kila siku wanamachungu na chuki sana na Kenya.
With this report now i see why ....bcoz its clear such darkness is inherent in Tanzanians.
 
Mbona huwa huwaoni ndugu zako wenye chuki, unafiki, umbeya, roho mbaya kuhusu nchi ya asali na maziwa Tanzania?
Au ndio nyani haoni kundule [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sababu waKenya sio roho mbaya nawajua vizuri sana they just do it to defend their dear motherland Kenya.Jiulize mbona waKenya hawana haya mambo dhidi ya Ethiopia ,Uganda ,South Sudan etc? Kwanini ni nyie Tanzania tu?
 
We are here to defend our motherland Tanzania,
Hili jukwaa Mlitengenezewa maalum kwa mambo ya kenya ila kwa sababu nyie ni wachokozi mkaanza kuleta mambo yasiyowahusu,
Wakenya mna roho mbaya ndio maana mnachukiana wenyewe kwa wenyewe (ukabila) .
Kwa sababu waKenya sio roho mbaya nawajua vizuri sana they just do it to defend their dear motherland Kenya.Jiulize mbona waKenya hawana haya mambo dhidi ya Ethiopia ,Uganda ,South Sudan etc? Kwanini ni nyie Tanzania tu?
 
Hesabu nyuzi za humu zinazoeneza chuki kutoka kwa kenyan uone zilivyo nyingi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama huwezi kuthibitisha madai yako acha basi kutafuta kiki za peni mbili na kubeba watu kimalenge malenge.
Sasa wakenya mnanjaa hivyoo ukiona matunda kwenye friji siutakufa Kwa kutoka udenda tena ukute kaweka chapo 4 ndaniyake itakuwaje siutaitafuna hadi hiyi simu
 
Bei ya chungwa dar rejareja mitaani Tsh 100 = Ksh 5
Avocado parachichi tsh500 = ksh25 kama unanunua sokoni bei ni chini ya hapo
 
Bei ya chungwa dar rejareja mitaani Tsh 100 = Ksh 5
Avocado parachichi tsh500 = ksh25 kama unanunua sokoni bei ni chini ya hapo
Lol.. Nikiwa mtoto nilisikia watu wakisema huwa mnabeba pesa kwa magunia mkienda dukani. Kuna wakenya wanaamini hivyo hadi sasa
 
Sasa hizo ng'ombe zinazotoa litre 50 kwa siku kwanini zisimsaidie ajenge nyumba ya matofali! Au akisha kamua maziwa anayaogea!
Akishachanga hela ananunua ngombe zaidi au kupeleka watoto University.... Utakuta jamaa amefikisha ngombe zaidi ya 50, ikiwa ngombe moja bei yake ni +170,000... lakini bado anaishi kwa nyumba ya matope akitumia solar...
Naona hua ni mindset ya watu flani kule vitongojini, ambao labda walifika kama form 2 na kuwacha shule ili wawe wakulima/wafanya biashara, watu wa aina hii hua hawaoni umuhumu wa nyumba, yeye anaweka utajiri wake kwa kumiliki ngombe na mbuzi na shamba, sio nyumba na magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…