Tetesi: Mwaka wa 4 watumishi wa umma bila nyongeza ya mshahara

Lakini watumishi wenyewe they do not bother, yapo yapo tu kama matutusa!
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kandamizwa.
Hujuma yoyote itamuathiri mwananchi wa kawaida.Wanaofanya maamuzi hayo wala hawataguswa hata kidogo
 
Hivi kumbe Utumishi wa umma ni ualimu tu? Au mtoa mada sijakuelewa vizuri? Mbona kuna kada nyingi sana nchi hii zinazohusiana na utumishi wa umma au hauelewi maana ya utumishi wa umma? Nakushauri badilisha title ya post yako kwa kuwa inawahusu Walimu tu ijapokuwa watumishi wa umma wote hakuna aliyeongezewa mshahara wala kupanda madaraja.
Pia ufahamu ya kwamba wapo watumishi wa umma nchi hii wenye mshahara mdogo sana kuwazidi hao walimu.
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kandamizwa.
Huu usemi umejirudiarudia sana humu[emoji848][emoji848]
 
Ulipo sipo kaa na ututusa wako
 
Mimi nazan tuondoe dhana ya kusubir kuajiriwa na Serikali,elimu yetu tunayoipa shuleni,vyuoni tuitumie kujiajiri, kusubir nyongeza ya mshahara hadi mtu 1 kati ya mil 55,alale vzr au ashauriwe na mke wake ndo aongeze ni upumbavu na ujinga wa hali ya juu Sana.
 
Kwani mkuu hao policcm na jw waliongezewa? mbona nawaona nao wamechoka kama sisi.
 
wanasiasa hawalioni hilo nawashauri waalimu shawishini watoto wenu wajiunge na jwtz baada ya elimu zao huko Hakuna pua ya mwanasiasa inayosogea hata diwani atakuamkia shkamoo
JWTZ wanahitaji watu wangapi na vijana Tanzania hii wapo wangapi?
 
Kama uliotoa huu Uzi huu no mwl. Utakuwa n mwl WA ovyo sana kazi ya ualimu inaubaya gani???mshahara UPI unatosha?? Unazijua KERO wanazopata haoJW?,madaktari,Polisi nk??Mwl ndio Mtumishi pekee mwenye likizo zaidi ya NNE ktk mwaka. Walimu ambao wanaojitambua ndio matajiri wakubwa sana huko vijijini

NB ushauri ili usilielie tena humu ndani
Tafuta mladi ufanye
Fuga Kuku,
Lima sana,
Jenga nyumba za kupangisha,
Nunua gari uwe Taxify nk
 
Halafu Pombe anasema pesa ninazo. Maana ni zake.
 
Kumbe una tena hii ID yako. umechukua ya gazeti lako na jina lako. ile nyingine huitumii tena humu JF?
 
Ushauri mzuri sana. Kama aanzishe kijarida chake kiwe kinaandika mambo ya nchi yetu kama kile cha TANZANITE cha MUSIBA.
Nje ya mada nime m miss sana mwanajf anayejiita Mgambilwa ni mntu hivi yupo kweli.
 
utalinganisha mshahara wa mwalimu na jw wewe mwogope mungu

Boss wa JW tuwekee hapa scale za wajeda na za walimu ili nasisi tusiojua tuamue kuwa unachosema ni usahihi.
 
Kujiajiri sio kwamba vijana hawapendi Ila sema Sasa wengi wao hawana sehemu pa kupata mtaji utakao wawezesha kujiajiri na hali hii upelekea kusubiria kuajiriwa
 
Sema mtoa mada umelenga walimu tu na sio watumishi wa umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…