Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wote wakiwa na mtazamo huu, unategemea nani akujengee kiwanda cha sukari, magari, sindano rungu n.kWataalam wa uchumi waje watuambie kama inawezekana kila mtu kujiajiri, uchumi utakua sawa kweli?
Nataka kujua
Hujamwelewa alichosema.Wote wakiwa na mtazamo huu, unategemea nani akujengee kiwanda cha sukari, magari, sindano rungu n.k
Unaruhusiwa kutoa maoni yako, kwa nini hatujiajiri huku mtaji ukiwa si tatizo?Nasoma comments
Forbes sijaona wakielezea muajiriwa mbobeziUkijiajiri utatumwa na clients wako au soko. Tabu ipo pale pale
I'd argue wafanyakazi Wana a balanced life style kuliko waliojiajiri. Hii notion kwamba ajira ni mbaya na kila mtu inabidi ajira is nonsense.
Tunaomba ufafanuziHujamwelewa alichosema.
Sina maoni. Mimi nitasoma maoni ya wengine 🤣Unaruhusiwa kutoa maoni yako, kwa nini hatujiajiri huku mtaji ukiwa si tatizo?
Kwa nini hutaki kujiajiri wakati mtaji unao?Kumekucha kumekucha
Ha ha ha sawaSina maoni. Mimi nitasoma maoni ya wengine 🤣
Kujiajiri sio suala la kila mtu.Wataalam wa uchumi waje watuambie kama inawezekana kila mtu kujiajiri, uchumi utakua sawa kweli?
Nataka kujua
Okay Mkuu, nasubiria comment nzito nzitoHa ha ha sawa
Inaeleweka, kujiajiri unatakiwa uwe na akili kubwa zaidi, Je hizo elimu za chuo hazitusaidii? mara MBA, BBA, Marketing, Entrepreneurship n.kKujiajiri sio suala la kila mtu.
Forbes sijaona wakielezea muajiriwa mbobezi
Soma mstari wako wa kwanza wa hii comment yako, hilo ndio jibu languInaeleweka, kujiajiri unatakiwa uwe na akili kubwa zaidi, Je hizo elimu za chuo hazitusaidiia? mara MBA, BBA, Entrepreneurship n.k
Ngoja waje, hakuna kushabikia timu leo 😀Okay Mkuu, nasubiria comment nzito nzito
I concur!Ukijiajiri utatumwa na clients wako au soko. Tabu ipo pale pale
I'd argue wafanyakazi Wana a balanced life style kuliko waliojiajiri. Hii notion kwamba ajira ni mbaya na kila mtu inabidi ajiajiri as though self-employed wote wamefanikiwa is nonsense.