Mwaka wa kumi huu au zaidi umeajiriwa (unatumwa tumwa tu); je, ni kitu gani kinakufanya usijiajiri?

Kutumwa hakuepukiki muhimu lengo litimie
Kuna mwingine hajali kuhusu kutumwa muhimu kazi yake inampa mkwanja anaoutaka...

Mwingine hajali kuhusu kutumwa lakini kqzi yake haimpi mkwanja anaoutaka, huyu better ajiajiri.

Muhimu ni wewe kujua unataka nini, mambo ya wingi yanachanganya bora kutumia umoja sometimes.
Kwa mtazamo wako, kwa nini hutaki kujiajiri?
 
Tunaamini elimu tunayoipata huko vyuoni na mashuleni, inatupa uhuru wa kufanya maamuzi sahihi katika uzalishaji mali pamoja na kujitegemea.

Tulitegemea ujuzi na elimu ulioipata huko duniani n.k iwe chachu ya wewe kujijenga na kuanzisha na kumiliki kampuni, taasisi, au kiwanda ili pia iweze kutoa ajira kwa wengine.

Mtaji kwako sio tatizo, kwa sababu umeshaajiriwa kwa miaka mingi na una sifa zote za kukopa; Swali, kwanini unashindwa kujiajiri?

Tatizo ni nini?​
Makusudi mazima ya Elimu tunayoipata huko vyuoni ni Maandalizi ya kuajiriwa ....ndiyo Elimu ilivyopangwa.....(Kujiajiri ni ujuzi Kwa bahati mbaya haupatikani vyuoni)Sasa kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira wahitimu wanatafuta mbadala yaani waitumie Elimu hiyo kujiajiri......
Kama kweli ulitaka kujiajiri Wala usingekwenda huko chuoni.....
Sijui kama naeleweka,.....kwanini naongea hivyo??
Experience yangu,nimesoma na jamaa mmoja ametoka kwenye familia ya waarabu,kazi Yao kubwa ni mabasi na maduka......
Jamaa tulivyofika form six combi zimekaa vizuri kafaulu vizuri sana......
Kwa mshangao jamaa akaniambia familia imekataa asiendelee kusoma kwani atapoteza Muda na badala yake aanzishe duka na basi moja halafu apewe mke haraka sana....
Baba yake ndiye atamfundisha kuendesha biashara kama alivyofundishwa na Babu yake......

Nikamaliza chuo ,wakati natafuta ajira yeye ni tajiri na anaajiri watu( hataki walioenda chuo kwenye biashara zake).....
.Anyway ngoja niishie hapa nisome na experience za wengine....
 
Makusudi mazima ya Elimu tunayoipata huko vyuoni ni Maandalizi ya kuajiriwa ....ndiyo Elimu ilivyopangwa.....Sasa kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira wahitimu wanatafuta mbadala yaani waitumie Elimu hiyo kujiajiri......
Kama kweli ulitaka kujiajiri Wala usingekwenda huko chuoni.....
Sijui kama naeleweka,.....kwanini naongea hivyo??
Experience yangu,nimesoma na jamaa mmoja ametoka kwenye familia ya waarabu,kazi Yao kubwa ni mabasi na maduka......
Jamaa tulivyofika form six combi zimekaa vizuri kafaulu vizuri sana......
Kwa mshangao jamaa akaniambia familia imekataa asiendelee kusoma kwani atapoteza Muda na badala yake aanzishe duka na basi moja halafu apewe mke haraka sana....
Baba yake ndiye atamfundisha kuendesha biashara kama alivyofundishwa na Babu yake......

Nikamaliza chuo ,wakati natafuta ajira yeye ni tajiri na anaajiri watu( hataki walioenda chuo kwenye biashara zake).....
.Anyway ngoja niishie hapa nisome na experience za wengine....
Kwa hoja hii, elimu ndio inatufanya tuwe zoba; je unatushaurije ili tuweze kumiliki viwanda vingi kama vya sukari, chumvi, ndege, vifaru, kuchimba mafuta n.k tusiwapeleke watu shule?
 
Wote wakiwa na mtazamo huu, unategemea nani akujengee kiwanda cha sukari, magari, sindano rungu n.k
Uchumi ni mfumo uliotengenezwa na binadamu, una vigezo na kanuni

Kujiajiri kunaweza kukawa kuzuri lakini sote tunaelewa walioajiri na walioajiriwa wana majukumu yao.

Sasa basi inawezekana kila mtu kujiajiri(yaani kla mtu ana biashara, hakuna waajiriwa) na bado uchumi ukasimama?
 
Kwa hiyo unaunga hoja ya kuwa cheap labour?
 
Kwa hoja hii, elimu ndio inatufanya tuwe zoba; je unatushaurije ili tuweze kumiliki viwanda vingi kama vya sukari, chumvi, ndege, vifaru, kuchimba mafuta n.k tusiwapeleke watu shule?
Kama kwenu sio matajiri basi PATA Elimu ukatumikishwe.......
Umiliki ulioutaja hapo ni (intergenerational)kama Babu Yako alikuwa tajiri naye akakumegea kidogo basi nawewe utakuwa tajiri......
Tatizo ni mwanzo ....ninamaana kwenu hakuna tajiri...wewe ndiyo unataka kuwa wa kwanza.....inabidi nguvu za ziada zitumike.....
 
Kwa mfumo wa Elimu kibongo bongo unaweza.kuwa na mtaji ukashindwa kujiajiri ,.Wachache sana ni Risk taker.
Ni rahisi kukopa kuendeleza biashara kuliko kujilipua kwa kukopa kisha uanzishe biashara
Je tukienda kupata elimu ughaibuni, inaweza ikatusaidia katika kujiajiri?
 
Tunaamini elimu tunayoipata huko vyuoni na mashuleni, inatupa uhuru wa kufanya maamuzi sahihi katika uzalishaji mali pamoja na kujitegemea.

Tulitegemea ujuzi na elimu ulioipata huko duniani n.k iwe chachu ya wewe kujijenga na kuanzisha na kumiliki kampuni, taasisi, au kiwanda ili pia iweze kutoa ajira kwa wengine.

Mtaji kwako sio tatizo, kwa sababu umeshaajiriwa kwa miaka mingi na una sifa zote za kukopa; Swali, kwanini unashindwa kujiajiri?

Tatizo ni nini?​
Inategemea na maslai kaajiriwa CEO wa Voda Mimi ni nani?
 
Back
Top Bottom