Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Sawa, ndio maana nimeuliza uko kwenye ajira zaidi ya miaka 15 kwa nini unashindwa kujiajiri? Ata kuanzisha kampuni ya uchimbaji mdogo wa mchanga?Forbes ishacover hadi kina Elizabeth Holmes, Charlie Javice, Sam Bankman etc. unajua walipo?
CEOs wa apple, Google, Microsoft ni waajiriwa nenda kawaambie ajira ni mbaya na uliza walikua Hapo miaka mingapi Kabla ya kuwa CEOs. BTW nao washakua on Forbes