Mwaka wa kumi huu au zaidi umeajiriwa (unatumwa tumwa tu); je, ni kitu gani kinakufanya usijiajiri?

Mwaka wa kumi huu au zaidi umeajiriwa (unatumwa tumwa tu); je, ni kitu gani kinakufanya usijiajiri?

Kama kwenu sio matajiri basi PATA Elimu ukatumikishwe.......
Umiliki ulioutaja hapo ni (intergenerational)kama Babu Yako alikuwa tajiri naye akakumegea kidogo basi nawewe utakuwa tajiri......
Tatizo ni mwanzo ....ninamaana kwenu hakuna tajiri...wewe ndiyo unataka kuwa wa kwanza.....inabidi nguvu za ziada zitimike.....
Uko sahihi, je kwa upande wako ulishaanza kutengeneza kizazi cha kuja kujiajiri?
 
Back
Top Bottom