Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #61
Uko sahihi, je kwa upande wako ulishaanza kutengeneza kizazi cha kuja kujiajiri?Kama kwenu sio matajiri basi PATA Elimu ukatumikishwe.......
Umiliki ulioutaja hapo ni (intergenerational)kama Babu Yako alikuwa tajiri naye akakumegea kidogo basi nawewe utakuwa tajiri......
Tatizo ni mwanzo ....ninamaana kwenu hakuna tajiri...wewe ndiyo unataka kuwa wa kwanza.....inabidi nguvu za ziada zitimike.....