Mwakalabela afungiwa miaka mitano kutojihusisha na soka

Nakumbuka tulimwambia ajiandae kula mvua kutoka mamlaka husika

Alitaka kuwafurahisha mashabiki bila kujali kanuni na sheria za kandanda
 
Mwakalebela ameshindwa kuthibisha Madai yake mwenyewe anafaa kufungiwa.

Yeye ndie aliesema timu yake inahujumiwa Ila yeye mwenyewe kashindwa kuthibitisha.

Yeye mwenyewe ndie aliesema anaomkataba wa Simba na Morrison lakini baadae ameshindwa kuutoa na hata angekua nao maana yake kauiba kama wenye mkataba hawakumpa ambalo nikosa pia.

Sasa inaonyesha wazi alikua anaongea kufurahisha mashabiki asijue anaigharimu timu yake.
 
watakanusha sio yao .....ata kama hawatokanusha rufaa sisi wananchi tutashinda wasitutishe
 
Wamewezaje kutenganisha kauli za kiongozi wa timu na kauli zake yeye binafsi?

Alijituma, hakutumwa na timu? Timu iliwahi kukanusha hayo malalamiko kwamba haihusiani nayo?
Ndio maana kaadhibiwa yeye binafsi na sio timu kabla ya hapo aliwahi kuropoka kuwa wanamsajili Chama huku wakijua kabisa bado ana mkataba Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…