Mwakalabela afungiwa miaka mitano kutojihusisha na soka

Mwakalabela afungiwa miaka mitano kutojihusisha na soka

Yaani anafaini ya jumla mil 7. Pamoja na kufungiwa miaka mitano

Aliambiwa baada ya Press Conference kuwa TFF wananoa Panga

Mwifwa
Hii taarifa ni nzuri kwa upande fulani kwa mashabiki wa Yanga. Wangemfungia na mwenyekiti Msola ingekuwa fresh zaidi. Yanga haina uongozi makini
 
Genge la waguni pale TFF wakiongozwa na Msomali na Katibu wake Mrundi ifike mahali tuwarudishe kwenye nchi zao.
Sasa imetosha
 
Kwamba Mwakalebela amefungiwa kutojiusisha na Soka Ndani Na Nje Ya Tz Kwa Zaidi ya 5yrs Kwa Makosa Ya Uchochezi na Uongo Pia anatakiwa Kuilipa Tiefufu more than 7m?? Tiefufu Wapumbavu Sana
Huu ni ungese wa tifuatifua kwa kiwango cha lami.
 
Genge la waguni pale TFF wakiongozwa na Msomali na Katibu wake Mrundi ifike mahali tuwarudishe kwenye nchi zao.
Sasa imetosha
Wao na Yanga tu kumaaaaammmmaaaaaaaaaaaeeeeeeeee zao.
 
Hebu waangalie nyuso zao wala hazina furaha.. Viongozi wa Yanga ndio watu wanaongoza duniani kwa kutokuwa na furaha..
tapatalk_1617372572182.jpeg
 
Tangu msomali aingie madarakani sio simba wala viongozi wake wanaopata kash kash za TFF! Wao na Yanga tu, ila yana mwisho haya!
 
Hii TFF chini ya Nyau Fc ni utopolo kabisa

Sote tunafahamu mwaka huu kuna uchaguzi, Karia na genge lake wana hofu kuu
Wanatumia nguvu kubwa kuwafungia viongozi wa Yanga! Yule msemaji wa mbumbumbu anaropoka ujinga tu kila siku, lakini husikii amefungiwa!

Sishangai kuona timu yetu ya Taifa na pia timu za ukanda wa Cecafa zikivurunda kwenye mashindano ya Kimataifa! Tuna rais anayewaza kula tu! Ukimuona amekaa kiuroho uroho tu! Yeye yuko busy na wapuuzi wenzake kukusanya tu hela!

Yaani mumfungie mtu miaka mitano, halafu awape na milioni tano tena! Kwa sababu mna njaa sana bila shaka.
 
mbona alipokuwa katibu mkuu tff Mwakalebela alikuwa ana presentation nzuri.
 
Mwakalebela aachane na soka arudi kwenye siasa tu.
 
Mwakaleb utendaji wako ulikuwa wa kutukuka Kipindi kile uko na Malinzi pale TFF.! Nini kimekutokea sasa? Yaani wewe imekuaje umekua Zigo La Misumari kwa wana Yanga na Soka La Tz Kiujumla?
 
Mwakalebela hajawahi kuwa kiongozi mzuri kwa Yanga zaidi ya kuwa muongo muongo, kuwadanganya mashabiki, hata baadhi ya viongozi wa Yanga ni makanjanja tu
 
Back
Top Bottom