changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Hii taarifa ni nzuri kwa upande fulani kwa mashabiki wa Yanga. Wangemfungia na mwenyekiti Msola ingekuwa fresh zaidi. Yanga haina uongozi makiniYaani anafaini ya jumla mil 7. Pamoja na kufungiwa miaka mitano
Aliambiwa baada ya Press Conference kuwa TFF wananoa Panga
Mwifwa