Mwakalabela afungiwa miaka mitano kutojihusisha na soka

Mwakalabela afungiwa miaka mitano kutojihusisha na soka

Hili pigo kwa timu Yangu miaka mitano ni mingi sana

View attachment 1741020

Inamaana akienda Taifa kuangalia Mpira pia atakua amekikuka mashart aliyopewa?
TFF ni genge la wahuni fulani linaloendesha soka kimafia...Yanga ikisimama kidete huu ndio utakuwa mwisho wa genge...Yanga wajipange tu ..wawe pamoja na makamu mwenyejiti wao...halafu wachukue hatua ili genge hili liondoke madarakani...ni rahisi mno kuliondoa genge hili ingawa hatua hizo zinaweza kuiathiri soka ya Tanzania...
 
Kujihusisha na mpira ni eneo kubwa tena nje na ndani... Kama ni betting za farasi au magari sawa...

Yani huyu hata kuangalia mpira hatakiwi, na itakuwa ngumu kumuona majukwaani taifa ktk kipindi chote cha adhabu... Hata kutangaza au kuchambua...
Atakata rufaa..na hiyo rufaa inaweza kuwa na athari kwa soka ya Tanzania
 
wapumbavu tu hao TFF badala wajiuzuru kwa kushindwa kuendesha mpira wetu wao wanakalia kufungia wanao waumbua upuuzi wao, kesho utasikia amekata rufaa na kashinda
 
Kg 800 na mtumbo wake kama gunia la vitunguu lenye lumbesa! 😂
 
Yule alizidi pumba acha afungiwe ajirekebishe ila huko utopoloni watakuja na povu kaa lote kuanza kusema anaonewa wakati alijitakia mwenyewe.

Timu lia lia kila kitu wanaona wanaonewa kama mtoto Yatima
Hao kwenye soka la Tanzania tunawaita "WANYONGE" Kila siku kilio tu
 
Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela hatotakiwa kujishughulisha na mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa kosa la kutoa maneno ya uchochezi kwa nia ya kuwachochea mashabiki wa Yanga dhidi ya vyombo vinavyosimamia mpira wa miguu nchini

Maamuzi hayo yamefikiwa na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya kupokea malalamiko yaliyotolewa Februari 19 alipokuwa akizungumza na wanahabari ambapo alisema TFF na TPLB vinaihujumu Yanga

Mwakalebela amemtozwa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kosa la maadili. Pia ametozwa Tsh milioni 2 kwa kosa la kuta taarifa za uongo juu ya mkataba kati ya mchezaji Bernad Morrison na klabu ya Simba
View attachment 1741073

Wameniboa huyo angefungwa jumla tu.
 
Aisee msiba mwingine kwa vyura huu.
 
Wapo vyura waliofurahi,wana Uto wasiomtaka wameshukuru sana tff kwa kuwasaidia kuondoa ili zigo.
 
Huyu jamaa kwa sababu aliwahi kuwa katibu wa Tff huwa anajisahau na kufikiri yeye bado ni sehemu ya uongozi wa tff
 
Back
Top Bottom