Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Ndo vitisho hivyo....si unajua uongozi wa kimabavu ulivyo.... Wanatoa mfano kwa wengine ili kuzima chokochoko... Utawala Wa Vitisho na kiburi Uwaga Haudumu Kamwe... Tiefufu ni WasengeremaAfadhali...Alikuwa anachonga sana huyu mambo ya ajabu ajabu na ya kuzushazusha kuhusu Simba
[emoji3][emoji3][emoji3]hili halimo kwenye katazoHv ktk hili katazo la miaka mi5 ndani na Nje ya Nchi... Je? Anaruhusiwa kushiriki Football BETTING?
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
atakiwi hata kuangalia mpira kwenye kibanda umizaHv ktk hili katazo la miaka mi5 ndani na Nje ya Nchi... Je? Anaruhusiwa kushiriki Football BETTING?
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
hapo amewahi kiongozi TFF inakuwaje hajui kanuni. Jamaa wanaongoza timu kihunihuniNakumbuka tulimwambia ajiandae kula mvua kutoka mamlaka husika
Alitaka kuwafurahisha mashabiki bila kujali kanuni na sheria za kandanda
Muishukuru TFF kuwaondolea hilo levi la mataputapuIfungienu na team yenyewe mbaki na Simba yenu mfurahi
YOUNG AFRICAN Semeni chochote hapaMakamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela hatotakiwa kujishughulisha na mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa kosa la kutoa maneno ya uchochezi kwa nia ya kuwachochea mashabiki wa Yanga dhidi ya vyombo vinavyosimamia mpira wa miguu nchini
Maamuzi hayo yamefikiwa na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya kupokea malalamiko yaliyotolewa Februari 19 alipokuwa akizungumza na wanahabari ambapo alisema TFF na TPLB vinaihujumu Yanga
Mwakalebela amemtozwa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kosa la maadili. Pia ametozwa Tsh milioni 2 kwa kosa la kuta taarifa za uongo juu ya mkataba kati ya mchezaji Bernad Morrison na klabu ya Simba
View attachment 1741073
Haruhusiwi... Ni marufuku nje na ndani... Afanye shughuli zingine lakini sio mpira, hata mkimuona bar ana cheki mpira wa Liverpool toeni taarifa tff tafadhari...Hv ktk hili katazo la miaka mi5 ndani na Nje ya Nchi... Je? Anaruhusiwa kushiriki Football BETTING?
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kujihusisha na mpira ni eneo kubwa tena nje na ndani... Kama ni betting za farasi au magari sawa...[emoji3][emoji3][emoji3]hili halimo kwenye katazo
Likome kuropoka,alikuwa anawajaza upepo washabiki wa Yanga kiasi wanatishia kuua waamuzi ni kosa baya sanaYOUNG AFRICAN Semeni chochote hapa
Mkuu kwani tff ndo mwamuzi Wa mwisho,hakuna malaka za juu kumliko?Tunamuomba mama Samia aangalie hii TFF na maamuzi yao. Wanafanya maamuzi ya kipuuzi kuua soka letu
Mama ana kazi nyingi za kufanya, kwani boss wenu kilo 800 wakati anaenda kulopoka alijua Tff itampigia makofii eehTunamuomba mama Samia aangalie hii TFF na maamuzi yao. Wanafanya maamuzi ya kipuuzi kuua soka letu
Ulitaka aachwe na uzushi wake? Kufuata Sheria Ni kuua soka?Tunamuomba mama Samia aangalie hii TFF na maamuzi yao. Wanafanya maamuzi ya kipuuzi kuua soka letu