TFF ni genge la wahuni fulani linaloendesha soka kimafia...Yanga ikisimama kidete huu ndio utakuwa mwisho wa genge...Yanga wajipange tu ..wawe pamoja na makamu mwenyejiti wao...halafu wachukue hatua ili genge hili liondoke madarakani...ni rahisi mno kuliondoa genge hili ingawa hatua hizo zinaweza kuiathiri soka ya Tanzania...Hili pigo kwa timu Yangu miaka mitano ni mingi sana
View attachment 1741020
Inamaana akienda Taifa kuangalia Mpira pia atakua amekikuka mashart aliyopewa?
Atakata rufaa..na hiyo rufaa inaweza kuwa na athari kwa soka ya TanzaniaKujihusisha na mpira ni eneo kubwa tena nje na ndani... Kama ni betting za farasi au magari sawa...
Yani huyu hata kuangalia mpira hatakiwi, na itakuwa ngumu kumuona majukwaani taifa ktk kipindi chote cha adhabu... Hata kutangaza au kuchambua...
Ni funzo kwenye tasnia ya michezo uweledi utamalaji si kujizushia story tukwa mujibu wa TFF page.
Amefungiwa miaka Mitano.
Atalipa kitita cha Milioni 5.
Maendeleo hayana Chama
View attachment 1741019
Aseme na case ya CAS ikoje km sio bingwa wa kulopokaJamaa alikuwa anautumia timu kama mtaji wa kurudi kwenye siasa, ndiyo maana alikuwa haogopi kusema uongo kama ahadi wanazotoa majukwaani.
Aulizwe na case ya yanga na Morrison kama sio bingwa wa kuzusha tu Mambo ya vijiweni analeta ameishi uswahili anataka kuharibu tasnia za watu
kwa mujibu wa TFF page.
Amefungiwa miaka Mitano.
Atalipa kitita cha Milioni 5.
Maendeleo hayana Chama
View attachment 1741019
Na yeye alikuwa wamezidi kulalamika sana.Hili pigo kwa timu Yangu miaka mitano ni mingi sana
View attachment 1741020
Inamaana akienda Taifa kuangalia Mpira pia atakua amekikuka mashart aliyopewa?
Hili pigo kwa timu Yangu miaka mitano ni mingi sana
View attachment 1741020
Inamaana akienda Taifa kuangalia Mpira pia atakua amekikuka mashart aliyopewa?
Hao kwenye soka la Tanzania tunawaita "WANYONGE" Kila siku kilio tuYule alizidi pumba acha afungiwe ajirekebishe ila huko utopoloni watakuja na povu kaa lote kuanza kusema anaonewa wakati alijitakia mwenyewe.
Timu lia lia kila kitu wanaona wanaonewa kama mtoto Yatima
Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela hatotakiwa kujishughulisha na mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa kosa la kutoa maneno ya uchochezi kwa nia ya kuwachochea mashabiki wa Yanga dhidi ya vyombo vinavyosimamia mpira wa miguu nchini
Maamuzi hayo yamefikiwa na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya kupokea malalamiko yaliyotolewa Februari 19 alipokuwa akizungumza na wanahabari ambapo alisema TFF na TPLB vinaihujumu Yanga
Mwakalebela amemtozwa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kosa la maadili. Pia ametozwa Tsh milioni 2 kwa kosa la kuta taarifa za uongo juu ya mkataba kati ya mchezaji Bernad Morrison na klabu ya Simba
View attachment 1741073
kuna siku alihojiwa na media atoe maoni yake kuhusu Simba Sc kuingia group stage na kuipiga Al Ahl. akajibu hajui kama Simba imeingia makundi. nikajua wanamtumia huyu hawakumpa TORYule alizidi pumba acha afungiwe ajirekebishe