Yanga tunavunja rekodi zote za Simba CAF!Chukua hii mwanasokaView attachment 2360263
Mkuu....kwann yanga kipind cha pili inakuwa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]???Yanga tunavunja rekodi zote za Simba CAF!
Mayele ni mchezaji pekee wa Afrika ambae anaogopwa na mashabiki wa timu pinzani , Onyango, Inonga na hata mashabiki wa timu yake mwenyewe. Kijana huyu amevunja rekodi Afrika na duniani kwa kupiga hat-trick mbili mfululizo kwenye michuano mikubwa ya kimataifa.
Mchezaji wa mwisho kupiga hat trick kama hizo kwenye mashindano ya CAF ni Vasco da Gama mnamo mwaka 1498 huko Afrika kusini! Takriban miaka elfu 20 iliyopita!
Yanga mbele kwa mbele hadi tubebe ndoo ya CAF na kunyamazisha kabisa ngebe za Makolo FC!
Yanga tamu asikwambie mtu na inakera sana kwasasa! possession 90% kwa 10%.
Kwa kucheza michezo yote miwili nyumbani hahahahahaaa!Chukua hii mwanasokaView attachment 2360263
It takes a lot of things kuingia makundi, haufiki kule kwasababu tu unataka kufika.Asee sipati picha kwa tambo hizi, Mara paa, Yanga nje ya makundi.... sijui watasemaje! Anyway, nawaombea watinge hatua ya Makundi!
Bahati mbaya hujamalizia kusema hivi; na iwapo itafanikiwa kuingia hiyo hatua ya makundi, basi niitwe mbwa nimekaa pale!!!It takes a lot of things kuingia makundi, haufiki kule kwasababu tu unataka kufika.
Yanga haiingii hatua ya makundi, si CAFCL tu bali hala CAFCC.
Aliyechagua michezo ichezwe yote nyumbani ni nani? Yanga ana kosa gani hapo labda tuambieKwa kucheza michezo yote miwili nyumbani hahahahahaaa!
Hamuingiii makundi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bahati mbaya hujamalizia kusema hivi; na iwapo itafanikiwa kuingia hiyo hatua ya makundi, basi niitwe mbwa nimekaa pale!!!
Uko tayari iwapo tutaingia, na wewe tukuite mbwa umekaa pale?Hamuingiii makundi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Na msipoingia kweli? We tukuiteee nan?Uko tayari iwapo tutaingia, na wewe tukuite mbwa umekaa pale?
Hizi rekodi CAF haizitambui, ndio maana hata magoli ya waliyofunga yanaishia raundi hii. Kwa ufupi ni rekodi ambazo hazijawahi kuwapo. Rekodi zilizopo CAF ni makundi, robo fainali, fainali na ubingwa. Ukitaka kufikia rekodi, basi uzifikie hiziYanga tunavunja rekodi zote za Simba CAF!
Mayele ni mchezaji pekee wa Afrika ambae anaogopwa na mashabiki wa timu pinzani , Onyango, Inonga na hata mashabiki wa timu yake mwenyewe. Kijana huyu amevunja rekodi Afrika na duniani kwa kupiga hat-trick mbili mfululizo kwenye michuano mikubwa ya kimataifa.
Mchezaji wa mwisho kupiga hat trick kama hizo kwenye mashindano ya CAF ni Vasco da Gama akitumia assist za David Livingstone mnamo mwaka 1498 huko Afrika kusini! Takriban miaka elfu 20 iliyopita!
Yanga mbele kwa mbele hadi tubebe ndoo ya CAF na kunyamazisha kabisa ngebe za Makolo FC!
Yanga tamu asikwambie mtu na inakera sana kwasasa! possession 90% kwa 10%.
Lete wajinga wote tunakata na kufunua tu hakuna huruma! Lete Makolo, lete Mandonga, lete Kiduku, lete Makinyo tunaua tu. Tumeanza kuzoea fataki za kubeba makombe!
Nani kama Prof Nabi aka Ferguson!!
Simba kitu pekee walichobaki nacho kwasasa ni MATUSI tu mpira umeenda kwao Brazil!
Achana nalo jinga hilo, Simba ndio wenye timu mbovu huenda wasiingie makundi.Bahati mbaya hujamalizia kusema hivi; na iwapo itafanikiwa kuingia hiyo hatua ya makundi, basi niitwe mbwa nimekaa pale!!!
Hizi rekodi CAF haizitambui, ndio maana hata magoli ya waliyofunga yanaishia raundi hii. Kwa ufupi ni rekodi ambazo hazijawahi kuwapo. Rekodi zilizopo CAF ni makundi, robo fainali, fainali na ubingwa. Ukitaka kufikia rekodi, basi uzifikie hiziChukua hii mwanasokaView attachment 2360263