Mwakalebela: Simba ingefungwa na Zalan fc

Mwakalebela: Simba ingefungwa na Zalan fc

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaaam Wana JF

Kutoka kwa kiongozi mmoja m,bobezi wa soka mwakalebela akiojiwa na media fulani amekiri kuwa Kama Simba ( kolo) ingecheza na Zalan Basi wangeambulia kichapo heavyweight

Sababu mechi za yanga zinaamuliwa na quality players ambao ndugu zetu simba hawana ......wanawachezaji wa kuunga unga Kama kina BOCCO, kibu, mzunguuuuuu etc.

Je unadhani kiongozi huyu yupo sahihi.....kwenu studio??
FB_IMG_16634727771518211.jpg
 
Yanga tunavunja rekodi zote za Simba CAF!

Mayele ni mchezaji pekee wa Afrika ambae anaogopwa na mashabiki wa timu pinzani , anaogopwa sana na Mzee Onyango, Braza Inonga na hata mashabiki wa Yanga yake mwenyewe. Kijana huyu amevunja rekodi zote Afrika na duniani kwa kupiga hat-trick mbili mfululizo kwenye michuano mikubwa ya kimataifa.
Mchezaji wa mwisho kupiga hat trick kama hizo kwenye mashindano ya CAF ni Vasco da Gama akitumia assist za David Livingstone na Barabara mnamo mwaka 1498 huko Afrika kusini! Takriban miaka elfu 20 iliyopita!

Yanga mbele kwa mbele hadi tubebe ndoo ya CAF na kunyamazisha kabisa ngebe za Makolo FC!

Yanga tamu asikwambie mtu na inakera haswa kwasasa! possession 90% kwa 10%.

Lete wajinga wote tunakata na kufunua tu hakuna huruma! Lete Makolo, lete PSG , Lete Man City, lete Mandonga, lete Kiduku, lete Makinyo , lete Brazil si tunaua tu. Tumeanza kuzoea fataki za kubeba makombe!

Nani kama Prof Nabi aka Ferguson!!

Simba kitu pekee walichobaki nacho kwasasa ni MATUSI tu mpira umeenda kwao Brazil!
 
Yanga tunavunja rekodi zote za Simba CAF!

Mayele ni mchezaji pekee wa Afrika ambae anaogopwa na mashabiki wa timu pinzani , Onyango, Inonga na hata mashabiki wa timu yake mwenyewe. Kijana huyu amevunja rekodi Afrika na duniani kwa kupiga hat-trick mbili mfululizo kwenye michuano mikubwa ya kimataifa.
Mchezaji wa mwisho kupiga hat trick kama hizo kwenye mashindano ya CAF ni Vasco da Gama mnamo mwaka 1498 huko Afrika kusini! Takriban miaka elfu 20 iliyopita!

Yanga mbele kwa mbele hadi tubebe ndoo ya CAF na kunyamazisha kabisa ngebe za Makolo FC!

Yanga tamu asikwambie mtu na inakera sana kwasasa! possession 90% kwa 10%.
Mkuu....kwann yanga kipind cha pili inakuwa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]???
 
Yanga tunavunja rekodi zote za Simba CAF!

Mayele ni mchezaji pekee wa Afrika ambae anaogopwa na mashabiki wa timu pinzani , Onyango, Inonga na hata mashabiki wa timu yake mwenyewe. Kijana huyu amevunja rekodi Afrika na duniani kwa kupiga hat-trick mbili mfululizo kwenye michuano mikubwa ya kimataifa.
Mchezaji wa mwisho kupiga hat trick kama hizo kwenye mashindano ya CAF ni Vasco da Gama akitumia assist za David Livingstone mnamo mwaka 1498 huko Afrika kusini! Takriban miaka elfu 20 iliyopita!

Yanga mbele kwa mbele hadi tubebe ndoo ya CAF na kunyamazisha kabisa ngebe za Makolo FC!

Yanga tamu asikwambie mtu na inakera sana kwasasa! possession 90% kwa 10%.

Lete wajinga wote tunakata na kufunua tu hakuna huruma! Lete Makolo, lete Mandonga, lete Kiduku, lete Makinyo tunaua tu. Tumeanza kuzoea fataki za kubeba makombe!

Nani kama Prof Nabi aka Ferguson!!

Simba kitu pekee walichobaki nacho kwasasa ni MATUSI tu mpira umeenda kwao Brazil!
Hizi rekodi CAF haizitambui, ndio maana hata magoli ya waliyofunga yanaishia raundi hii. Kwa ufupi ni rekodi ambazo hazijawahi kuwapo. Rekodi zilizopo CAF ni makundi, robo fainali, fainali na ubingwa. Ukitaka kufikia rekodi, basi uzifikie hizi
 
Back
Top Bottom